Amedeo wa Lausanne
Mandhari
Amedeo wa Lausanne (Chatte, leo nchini Ufaransa, 21 Januari 1110 - Lausanne, leo nchini Uswisi, 27 Agosti 1159) alikuwa mmonaki wa urekebisho wa Kibenedikto wa Citeaux, halafu abati wa Hautecombe[1][2] na hatimaye askofu wa Lausanne (1145-1159).
Huko alielimisha kwa bidii vijana, alifanya mapadri wawe na moyo wa ibada na usafi wa moyo na katika hotuba zake 8 [3] zilizotufikia pamoja na barua moja [4] alimtangaza Bikira Maria [5].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Pius X tarehe 9 Desemba 1903[6].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Agosti[7].
Hotuba zake
[hariri | hariri chanzo]- Des fruits et des fleurs des vertus de la sainte Vierge.
- De la justification ou grâce intérieure de la sainte Vierge.
- De l’incarnation du Seigneur.
- De l'enfantement de la Vierge et de la naissance de Jésus-Christ.
- De la force d'âme, ou du martyre de la sainte Vierge.
- De la joie et de l'admiration de la sainte Vierge à la résurrection et l'ascension de Jésus-Christ.
- De la mort de la sainte Vierge , de son assomption et de son exaltation à la droite de son Fils.
- De la plénitude de perfection dans la sainte Vierge, de sa gloire et de la puissance de sa protection.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Alfonso Codaghengo, BSS, vol. I (1961), col. 1000.
- ↑ “Through him, the monastery achieved a high level of spiritual perfection and temporal prosperity.” Schmid, Otto. Wetzer-Welte Kirchenlexikon , Vol. 1, Col. 670
- ↑ "St Amadeus of Lausanne", The Oxford Dictionary of the Middle Ages (Robert E. Bjork, ed.) OUP, 2010 ISBN 9780198662624
- ↑ Jacques-Paul Migne, Patrologiae Cursus Completus. Series Latina, vol. CLXXXVIII (1835), coll. 1299, 1303-1346.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/92236
- ↑ Index ac status causarum (1999), pp. 464 e 599.
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
- Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
- Magnificat. Homilies in praise of the Blessed Virgin Mary. Cistercian Fathers Series, no. 18 (Kalamazoo, Mich.: Cistercian Publications, 1979)
- Andre Fracheboud: Cistercian Antecedents of the Rosary. In: Cistercian Studies Quarterly 33.2 (1998)
- Hilda C. Graef: Mary: a History of Doctrine and Devotion. (London: Sheed and Ward 1964)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Entry on Website "Catholic Saints"
- Amadeus' eight Marian sermons (in Latin)
- Excerpts from the Marian sermons Archived 2015-09-11 at the Wayback Machine
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |