Akiolojia ya bahari ya Afrika Mashariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pwani ya Afrika Mashariki

Akiolojia ya bahari ya Afrika Mashariki inajumuisha maeneo kutoka Somalia kusini na Kenya, Tanzania hadi Msumbiji pamoja na visiwa mbalimbali na mafunguvisiwa, kama vile Lamu, Zanzibar, visiwa vya Mafia), na Kilwa.

Japokuwa jamii za Afrika ya Mashariki ziliweza kuanzisha uwezo wa baharini kwa ajili yao wenyewe, vitu vya kale vingi vya baharini vinaelekeza kwa wafanyabiashara wa nje kutoka tamaduni za Bahari ya Mediteranea kama vile Misri na Ugiriki, hadi Uhindi na China wa Kusini na Mashariki mwa Asia katika hatua za awali, hadi mataifa makubwa ya Ulaya wakati wa Ukoloni na Ubeberu.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akiolojia ya bahari ya Afrika Mashariki kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.