Air Madagascar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Air Madagascar
IATA
MD
ICAO
MDG
Callsign
AIR MADAGASCAR
Kimeanzishwa 1962
Vituo vikuu Ivato International Airport
Programu kwa wateja wa mara kwa mara Namako
Ndege zake 13
Shabaha 47
Makao makuu Antananarivo, Madagascar
Watu wakuu Heriniaina Razafimahefa (Chairman)
Tovuti www.airmadagascar.com

'Société Nationale Malgache de Transports Aériens inayojulikana kama Air Madagascar ni ndege iliyo mjini Antananarivo. Ni ndege ya kitaifa inayohudumu ncu za Uropa, Asia na Afrika. Makao yake makuu ni kwenye Uwanja wa Ndege wa Ivato.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Air Madagascar ilianzishwa mnamo Machi 1947 na Transports Aériens Intercontinentaux.

Air Madagascar aina ya Boeing 747-200B kwenye uwanja wa ndege wa Frankfurt mnamo 1996.

Miji inayosafiria[hariri | hariri chanzo]

Afrika[hariri | hariri chanzo]

Asia[hariri | hariri chanzo]

Uropa[hariri | hariri chanzo]

Ndege zake[hariri | hariri chanzo]

Ndege za Air Madagascar
Aina ya ndege Picha Jumla Wasafiriwa
ATR 42-320 2 49 (0/49)
ATR 42-500 Air Madagascar ATR 42-500 (5R-MJG) parked at Toliara Airport.jpg 1
ATR 72-500 Air Madagascar ATR 72-500 (5R-MJF) parked at Dubai International Airport.jpg 2 70 (8/62)
Boeing 737-300 Air Madagascar Boeing 737-3Q8 5R-MFH.jpg 3 130 (12/118)
Boeing 767-300ER Air Madagascar at Bangkok.jpg 2 244 (24/220)
'De Havilland Canada DHC-6 Twin Otter 4 19 (0/19)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Air Madagascar Flight Schedule 2006. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-09-16. Iliwekwa mnamo 2010-01-29.
  2. Air Madagascar Flight Schedule 2007. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-08-19. Iliwekwa mnamo 2010-01-29.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]