Abdou Diallo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Abdou Diallo

Abdou Diallo (alizaliwa Ziara, Ufaransa, 4 Mei 1996) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Ligue 1 cha Paris Saint Germain F.C. (PSG).[1] Alizaliwa huko Diallo alianza kazi yake na vijana wa AS Monaco akiwa na umri wa miaka 15.

Mnamo 28 Machi 2014, alisaini mkataba wake wa kwanza na klabu hiyo. Mnamo 14 Julai 2017, Diallo alihamia Klabu ya Bundesliga FSV Mainz 05 na kusaini mkataba wa miaka mitano. Mnamo tarehe 26 Juni, 2018, Diallo alijiunga na Borussia Dortmund kwenye mkataba wa miaka mitano kwa ada ya milioni 28.

Katika mahojiano, alisema kwamba Ousmane Dembélé ndiye aliyemshauri ajiunge na klabu hicho, na mwezi Julai 2019 alisaini mkataba wa miaka mitatu na PSG.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdou Diallo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Abdou Diallo signs for Paris Saint-Germain.