Nenda kwa yaliyomo

9 Lives

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
9 Lives
9 Lives Cover
Studio album ya Kat DeLuna
Imetolewa 7 Agosti 2007
(Tazama Historia ya Matoleo)
Imerekodiwa 2007
Aina R&B
Lebo Epic
Mtayarishaji RedOne Productions
Tahakiki za kitaalamu
Kasha lingine
Kasha la pili
Single za kutoka katika albamu ya 9 Lives
  1. "Whine Up"
    Imetolewa: 15 Mei 2007
  2. "Run the Show"
    Imetolewa: 15 Januari 2008
  3. "Am I Dreaming"
    Imetolewa: 16 Julai 2008


9 Lives ni albamu ya kwanza ya mwimbaji wa R&B Bi. Kat DeLuna. Albamu hii ilitolewa nchini Marekani mnamo tar. 7 Agosti 2007.

Utayarishaji wa albamu

[hariri | hariri chanzo]

DeLuna ameshirikiana kuandika kila nyimbo na RedOne, ambaye pia ametayarisha albamu hii. Albamu ilipata kushika nafasi ya 58 katika chati za U.S. kwa Billboard 200 bora, na kuweza kuuza nakala 11,000 katika wiki ya kwanza tangu kutolewa.

[1]Albamu hii iliuza nakala 63,000 kwa Marekani na ikauza zaidi dunia nzima kwa kupata dola za Kimarekani zipatazo 100,000.

Single ya kwanza kutoka katika albamu hii ni "Whine Up" ilifanya vizuri, lakini ilikuwa ikiwika kwa matumaini. Single ya pili kutoka katika ilitakiwa iwe "Am I Dreaming" ambayo tayari alishaifanyia video yake, lakini ilighailishwa kwa kufuata mdororo wa albamu.

Video yake ilipigiwa katika Jamhuri ya Dominika na inaonyesha akiwa anaimba wimbo huu akiwa na wachezaji kadhaa waliomzunguka huku akiwa wanapitapita katika mitaa ya Uchina. Video hii pia yaweza kuonekana kwa kupitia Youtube.

DeLuna na watayarishaji wake wameamua kuendelea na wimbo mwingine wenye spidi kubwa kama ule wa "Whine Up" kwa lengo la kuupokea ule wa "Am I Dreaming" wakaamua kuutoa wimbo wa "Run the Show" ambayo ameshirikiana na Busta Rhymes, na Don Omar ikiwa kama single ya pili. Video ya "In The End" inaweza kupatikana katika tovuti rasmi ya DeLuna ya ukurasa wa YouTube. Video ya "In The End" ilitolewa manamo tar. 1 Novemba 2008.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

Toleo la kawaida

[hariri | hariri chanzo]
  1. "9 Lives" (Intro) - 1:06
  2. "Run the Show" (akishirikiana na Shaka Dee) - 3:31
  3. "Am I Dreaming" - 4:14
  4. "Whine Up" (akishirikiana na [Elephant Man]]) - 3:25
  5. "Feel What I Feel" - 4:04
  6. "Love Me, Leave Me" - 4:11
  7. "In the End" - 3:23
  8. "Love Confusion" - 4:02
  9. "Animal" - 3:23
  10. "Be Remembered" (akishirikiana na Shaka Dee) - 3:37
  11. "Enjoy Saying Goodbye" - 4:05

Nyimbo za ziada

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Whine Up" (En Español) (akishirikiana na Elephant Man) - 3:25
  2. "Como un Sueño" (En Español) (Am I Dreaming) - 3:59
  3. "Run the Show" (En Español) (akishirikiana na Don Omar) - 3:30
  4. "How We Roll" (Wimbo wa Ziada wa Kijapani)
  5. "You Are Only Mine" (Wimbo wa Ziada wa Kijapani) - 3:30

Kutolewa upya na Kuhondoshwa katika iTunes Store

[hariri | hariri chanzo]

Mapema mwezi wa Februari katika mwaka wa 2008, albamu ilitolewa kimya-kimya katika maduka ya iTunes. Hamna sababu zilizotolewa juu ya mahondosho hayo ya albamu hii, lakini inaonekana zaidi kwa sababu albamu imetolewa upya. Lakini single ya "Whine Up" na "Run the Show" zimebaki kulekule.

Toleo jipya linategemewa kutolewa wakati wa kiangazi cha 2008 na itatolewa na studio ya Akon yaKonvict Muzik.

Orodha ya Nyimbo za Toleo Jipya

[hariri | hariri chanzo]
  1. "9 Lives" (Intro) - 1:08
  2. "Run the Show" (akimshirikisha Busta Rhymes) - 3:31
  3. "Am I Dreaming" (akimshirikisha Akon) - 3:58
  4. "Feel What I Feel" - 4:04
  5. "Whine Up" (akimshirikisha Elephant Man) - 3:25
  6. "Love Me, Leave Me" - 4:11
  7. "In the End" - 3:23
  8. "Love Confusion" - 4:02
  9. "Animal" - 3:23
  10. "You Are Only Mine" - 3:30
  11. "Enjoy Saying Goodbye" - 4:05

Nyimbo za Ziada

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Whine Up" (En Español) (akimshirikisha Elephant Man) - 3:25
  2. "Run the Show" (En Español) (akimshirikisha Don Omar) - 3:33
  3. "Como un Sueño" (En Español) (Am I Dreaming) - 3:59

Toleo la Deluxe

[hariri | hariri chanzo]

Toleo la Deluxe lilipangwa litolewe nchini Marekani kunako tar. 29 Julai 2008 lakini baadaye ilighailishwa kwa sababu zisizojulikana.

Historia ya Matoleo

[hariri | hariri chanzo]
Mkoa Tarehe Maelezo
Marekani 7 Agosti 2007 Haipatikani Tena Kupita Maduka ya
iTunes
Japan 8 Agosti 2007 Haipatikani Tena Kupita Maduka ya
iTunes
Ufaransa 21 Aprili 2008
Singapore 1 Mei 2008
Ujerumani 25 Julai 2008
Australia 29 Septemba 2008
Poland 8 Septemba 2008

Chati zake

[hariri | hariri chanzo]
Chati (2008) Nafasi
iliyoshika
Belgium Albums Top 50 16
French Albums Chart 26
U.S. Billboard 200 58
Swiss Albums Top 100 49
Australian ARIA Urban Albums 46
Finnish Albums Chart 15
Austrian Albums Chart 65
Polish Albums Chart[2] 78
  1. Katie Hasty, "After Five-Year Absence, UGK Scores First No. 1 Album" Ilihifadhiwa 16 Juni 2008 kwenye Wayback Machine., Billboard.com, 15 Agosti 2007.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-20. Iliwekwa mnamo 2008-11-13.