Nenda kwa yaliyomo

Kariakoo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 3 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1404645 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{Infobox Settlement
{{Infobox Settlement
|jina_rasmi = Kata ya Kariakoo
|jina_rasmi = Kata ya Kariakoo
|picha_ya_satelite =
|picha_ya_satellite =
|maelezo_ya_picha =
|maelezo_ya_picha =
|pushpin_map = Tanzania
|pushpin_map = Tanzania
Mstari 12: Mstari 12:
|subdivision_type2 = [[Wilaya za Tanzania|Wilaya]]
|subdivision_type2 = [[Wilaya za Tanzania|Wilaya]]
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya Ilala|Ilala]]
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya Ilala|Ilala]]
|wakazi_kwa_ujumla = 9405
|wakazi_kwa_ujumla =13,780
|latd=6 |latm=49 |lats=26 |latNS=S
|latd=6 |latm=49 |lats=26 |latNS=S
|longd=39 |longm=14 |longs=56 |longEW=E
|longd=39 |longm=14 |longs=56 |longEW=E
Mstari 18: Mstari 18:
}}
}}
'''{{BASEPAGENAME}}''' ni jina la kata ya Wilaya ya [[Ilala]] katika [[Mkoa wa Dar es Salaam]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 9,405 waishio humo.<ref>{{cite web|url=http://www.nbs.go.tz/index.php?option=com_phocadownload&view=category&id=88:village-stat&Itemid=106|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-21}}</ref>
'''{{BASEPAGENAME}}''' ni jina la Kata ya Wilaya ya [[Ilala]] katika [[Mkoa wa Dar es Salaam]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2012]], Kata ina wakazi wapatao 13,780 waishio humo.<ref>http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Wilaya ya Ilala - Dar es salaam</ref>


Kariakoo inajulikana kutokana na soko kubwa.
Kariakoo inajulikana kutokana na soko kubwa.

Pitio la 08:31, 22 Machi 2015


Kata ya Kariakoo
Kata ya Kariakoo is located in Tanzania
Kata ya Kariakoo
Kata ya Kariakoo

Mahali pa Kariakoo katika Tanzania

Majiranukta: 6°49′26″S 39°14′56″E / 6.82389°S 39.24889°E / -6.82389; 39.24889
Nchi Tanzania
Mkoa Dar es Salaam
Wilaya Ilala
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 13,780

Kariakoo ni jina la Kata ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, Kata ina wakazi wapatao 13,780 waishio humo.[1]

Kariakoo inajulikana kutokana na soko kubwa.

Asili ya jina

Jina la eneo hili ni la kihistoria linatokana na neno la Kiingereza "carrier corps" yaani kikosi cha wapangaji waliobeba mizigo ya jeshi wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Pande zote vitani walitumia malakhi ya wapangaji waliokodishwa au kulazimishwa kufanya huduma hii. Baada ya vita wapangaji kadhaa walipewa maeneo ya kujenga nyumba kwenye miji mbalimbali na hivyo majina kama "Kariakoo" au "Kariokor" (Nairobi) yanapatikana katika miji mbalimbali ya Afrika ya Mashariki.

Marejeo

Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania

Bonyokwa | Buguruni | Buyuni | Chanika | Gerezani | Gongolamboto | Ilala | Jangwani | Kariakoo | Kimanga | Kinyerezi | Kipawa | Kipunguni | Kisukuru | Kisutu | Kitunda | Kivukoni | Kivule | Kiwalani | Liwiti | Majohe | Mchafukoge | Mchikichini | Minazi Mirefu | Mnyamani | Msongola | Mzinga | Pugu | Pugu Station | Segerea | Tabata | Ukonga | Upanga Magharibi | Upanga Mashariki | Vingunguti | Zingiziwa