Nenda kwa yaliyomo

Google : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 24: Mstari 24:
}}
}}


'''Google''' ni [[tovuti]] kwenye [[mtandao]] inayotumiwa kwa kutafuta kurasa na habari za kila aina. Inatumia [[programu]] inayoitwa "mashine ya kutafuta" (search engine).
'''Google''' ni [[tovuti]] kwenye [[mtandao]] inayotumiwa kwa kutafuta kurasa na habari za kila aina. Inatumia [[programu]] inayoitwa "mashine ya kutafuta" (search engine). Neno Google limetokana na neno ''Googol'' linalomaanisha tarakimu 1 inayofuatwa na sifuri 100.


Imepata mafanikio makubwa kati ya tovuti za aina hii na kila siku takriban watu [[milioni]] 200,000 wanaitumia.<ref>[http://blog.searchenginewatch.com/110414-104100 Taarifa ya searchenginewatch Aprili 2011]</ref>
Imepata mafanikio makubwa kati ya tovuti za aina hii na kila siku takriban watu [[milioni]] 200,000 wanaitumia.<ref>[http://blog.searchenginewatch.com/110414-104100 Taarifa ya searchenginewatch Aprili 2011]</ref>


Tovuti ni [[mali]] ya [[kampuni]] ya Google Inc. ya [[Marekani]]. Kampuni ilianzishwa na [[Larry Page]] and [[Sergey Brin]] mwaka [[1998]], wakati walipokuwa [[wanafunzi]] wa [[chuo kikuu]].
Tovuti ni [[mali]] ya [[kampuni]] ya Google Inc. ya [[Marekani]]. Lakini kampuni mama ni [[Alphabet Inc.]]. Kampuni ilianzishwa na [[Larry Page]] and [[Sergey Brin]] mwaka [[1998]], wakati walipokuwa [[wanafunzi]] wa [[chuo kikuu]].


Matumizi ya google ni bure lakini kampuni ina mapato makubwa kutokana na matangazo ya [[biashara]] kwenye kurasa zake na [[thamani]] ya kampuni imekadiriwa kuwa [[bilioni]] za [[dolar]] 130 hivi.<ref>[http://www.millwardbrown.com/Libraries/Optimor_BrandZ_Files/2010_BrandZ_Top100_Report.sflb.ashx taarifa ya kampuni ya Millwardbrown ya mwaka 2010]</ref>
Matumizi ya Google ni bure lakini kampuni ina mapato makubwa kutokana na matangazo ya [[biashara]] kwenye kurasa zake na [[thamani]] ya kampuni imekadiriwa kuwa [[bilioni]] za [[dolar]] 130 hivi.<ref>[http://www.millwardbrown.com/Libraries/Optimor_BrandZ_Files/2010_BrandZ_Top100_Report.sflb.ashx taarifa ya kampuni ya Millwardbrown ya mwaka 2010]</ref> Umaarufu wa mashine ya kutafuta ya Google umetokana na sababu mbalimbali ikiwemo kanuni zinazotumika kuzipa ukurasa daraja la mtandaoni kwa kutumia mfumo uliopewa jina la ''PageRank'' kutokana na jina la mmoja wa waanzilishi wa Google, Larry Page.<ref>{{cite web |url=https://www.google.com/press/funfacts.html |title=Google Press Center: Fun Facts |publisher=www.google.com |archivedate=2001-07-15 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20010715123343/https://www.google.com/press/funfacts.html }}</ref> watangazaji wengi hujitahidi kutumia mbinu mbalimbali ili kuwa na daraja la juu kwenye mashine yake ya kutafuta.<ref>"[https://www.alu.edu/2018/01/24/ranking-1-google-ads-strategy/ Google Ranking].</ref>


Kiasili google ilitengenezwa kwa kutafuta [[Neno|maneno]] kwenye tovuti na hadi leo hii matumizi yake ni makubwa. Lakini google imeendelea kuongeza [[huduma]] nyingine kama kutafuta [[picha]] (google images), kutafuta mahali kwenye [[ramani]] ya [[dunia]] (google maps), kutafuta habari kwenye [[wavuti]] ya [[magazeti]] (google news) na mengine mengi.


Kiasili Google ilitengenezwa kwa kutafuta [[Neno|maneno]] kwenye tovuti na hadi leo hii matumizi yake ni makubwa. Lakini Google imeendelea kuongeza [[huduma]] nyingine kama kutafuta [[picha]] (gGogle Images), kutafuta mahali kwenye [[ramani]] ya [[dunia]] (Google Maps), kutafuta habari kwenye [[wavuti]] ya [[magazeti]] (Google News), video (YouTube) na mengine mengi.
Nje ya huduma za kutafuta, google imeanzisha pia huduma nyingine kama 'google mail' (huduma ya [[barua pepe]]) au huduma za kutunza [[kalenda]] na maandishi ya binafsi ya [[akaunti]] kwenye seva za google.


Nje ya huduma za kutafuta, google imeanzisha pia huduma nyingine kama 'Google Mail' (huduma ya [[barua pepe]]) au huduma za kutunza [[kalenda]] (Google Calendar) na maandishi ya binafsi ya [[akaunti]] kwenye seva za google.
Huduma nyingine ni ile ya kutafsiri (google translate) yenye nafasi ya kupakia matini kutoka moja ya [[lugha]] 60 na programu inajaribu kuitafsiri kwa lugha nyingine. Kati ya lugha kubwa kama [[Kiingereza]], [[Kihispania]] au [[Kifaransa]] matokeo ni mazuri kiasi, lakini lugha ndogo kama [[Kiswahili]] bado hayajaridhisha ingawa inaendelea kuboreka polepole.

Huduma nyingine ni ile ya kutafsiri (Google Translate) yenye nafasi ya kupakia matini kutoka moja ya [[lugha]] 60 na programu inajaribu kuitafsiri kwa lugha nyingine. Kati ya lugha kubwa kama [[Kiingereza]], [[Kihispania]] au [[Kifaransa]] matokeo ni mazuri kiasi, lakini lugha ndogo kama [[Kiswahili]] bado hayajaridhisha ingawa inaendelea kuboreka polepole.


Kuna pia jaribio la kutoa google kwa lugha ya Kiswahili lakini hii inaleta tu [[ukurasa]] wa kuingia katika tovuti iliyotafsiriwa kisehemu.<ref>http://www.google.com/ig?hl=sw</ref>.
Kuna pia jaribio la kutoa google kwa lugha ya Kiswahili lakini hii inaleta tu [[ukurasa]] wa kuingia katika tovuti iliyotafsiriwa kisehemu.<ref>http://www.google.com/ig?hl=sw</ref>.

Pitio la 10:00, 26 Julai 2018

Google
Aina ya shirikaPublic
AlamaKigezo:NASDAQ
Kigezo:NASDAQ
NASDAQ-100 Component
S&P 500 Component
Tarehe ya kwanzaMenlo Park, California
(Septemba 4, 1998 (1998-09-04))[1][2]
MwanzilishiSergey Brin, Larry Page
Pahali pa makao makuu, Mountain View, California, U.S.[3]
Pahali pa watejaWorldwide
Watu muhimu
Sekta ya viwandaInternet
Computer software
Telecoms equipment
BidhaaSee list of Google products
Mapatoincrease US$ 59.82 billion (2013)[4]
Mapato kasoro ushuruincrease US$ 13.96 billion (2013)[4]
Faidaincrease US$ 12.92 billion (2013)[4]
Jumla ya maliincrease US$ 110.92 billion (2013)[4]
Thamaniincrease US$ 87.30 billion (2013)[4]
Wafanyakazi49,829 (Q1 2014)[5]
Tovutigoogle.com

Google ni tovuti kwenye mtandao inayotumiwa kwa kutafuta kurasa na habari za kila aina. Inatumia programu inayoitwa "mashine ya kutafuta" (search engine). Neno Google limetokana na neno Googol linalomaanisha tarakimu 1 inayofuatwa na sifuri 100.

Imepata mafanikio makubwa kati ya tovuti za aina hii na kila siku takriban watu milioni 200,000 wanaitumia.[6]

Tovuti ni mali ya kampuni ya Google Inc. ya Marekani. Lakini kampuni mama ni Alphabet Inc.. Kampuni ilianzishwa na Larry Page and Sergey Brin mwaka 1998, wakati walipokuwa wanafunzi wa chuo kikuu.

Matumizi ya Google ni bure lakini kampuni ina mapato makubwa kutokana na matangazo ya biashara kwenye kurasa zake na thamani ya kampuni imekadiriwa kuwa bilioni za dolar 130 hivi.[7] Umaarufu wa mashine ya kutafuta ya Google umetokana na sababu mbalimbali ikiwemo kanuni zinazotumika kuzipa ukurasa daraja la mtandaoni kwa kutumia mfumo uliopewa jina la PageRank kutokana na jina la mmoja wa waanzilishi wa Google, Larry Page.[8] watangazaji wengi hujitahidi kutumia mbinu mbalimbali ili kuwa na daraja la juu kwenye mashine yake ya kutafuta.[9]


Kiasili Google ilitengenezwa kwa kutafuta maneno kwenye tovuti na hadi leo hii matumizi yake ni makubwa. Lakini Google imeendelea kuongeza huduma nyingine kama kutafuta picha (gGogle Images), kutafuta mahali kwenye ramani ya dunia (Google Maps), kutafuta habari kwenye wavuti ya magazeti (Google News), video (YouTube) na mengine mengi.

Nje ya huduma za kutafuta, google imeanzisha pia huduma nyingine kama 'Google Mail' (huduma ya barua pepe) au huduma za kutunza kalenda (Google Calendar) na maandishi ya binafsi ya akaunti kwenye seva za google.

Huduma nyingine ni ile ya kutafsiri (Google Translate) yenye nafasi ya kupakia matini kutoka moja ya lugha 60 na programu inajaribu kuitafsiri kwa lugha nyingine. Kati ya lugha kubwa kama Kiingereza, Kihispania au Kifaransa matokeo ni mazuri kiasi, lakini lugha ndogo kama Kiswahili bado hayajaridhisha ingawa inaendelea kuboreka polepole.

Kuna pia jaribio la kutoa google kwa lugha ya Kiswahili lakini hii inaleta tu ukurasa wa kuingia katika tovuti iliyotafsiriwa kisehemu.[10].

Marejeo

  1. "Company". Google. Iliwekwa mnamo Agosti 31, 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Claburn, Thomas. "Google Founded By Sergey Brin, Larry Page... And Hubert Chang?!?". InformationWeek. Iliwekwa mnamo Agosti 31, 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Locations - Google Jobs". Google.com. Iliwekwa mnamo 2013-09-27.
  4. 4.0 4.1 4.2 4.3 4.4 "Google Inc, Form 10-K, Annual Report, Filing Date Jan 29, 2013". secdatabase.com. Iliwekwa mnamo Machi 8, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Google's Income Statement Information". Google.
  6. Taarifa ya searchenginewatch Aprili 2011
  7. taarifa ya kampuni ya Millwardbrown ya mwaka 2010
  8. "Google Press Center: Fun Facts". www.google.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2001-07-15.
  9. "Google Ranking.
  10. http://www.google.com/ig?hl=sw

Viungo vya nje