Vita ya Maji Maji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Vita vya Maji Maji

Vita ya Maji Maji ulikuwa upingaji mkali wa wafrika katika tanganyika zidi ya utawala wa kikoloni katika koloni la Ujerumani ndani ya tanganyika, vita hivi vilishirikasha baadhi ya makabila kusini mwa tanganyika dhidi ya utawala wa Kijerumani katika kukabiliana na sera ya Kijerumani iliyoundwa kwa nguvu kuwa razimisha watu wa tanganyika kulima zao la pamba, vita hivi vilidumu kuanzia 1905-1907.