Sokwe (Hominidae)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Hominidae)
Rukia: urambazaji, tafuta
Sokwe
Ngagi
Ngagi
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota
Himaya: Animalia
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda: Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima)
Oda ya chini: Simiiformes (Wanyama kama kima)
Oda ndogo: Catarrhini (Kima wa Dunia ya Kale)
Familia ya juu: Hominoidea (Masokwe)
Familia: Hominidae (Masokwe wakubwa)
Ngazi za chini

Jenasi 4:

Sokwe mkubwa au sokwe peke yake ni jina la nyani wakubwa wa familia Hominidae wanaofanana sana na binadamu. Tofauti na nyani wengine ni kuwepo kwa mkia; karibu nyani wote huwa na mkia lakini masokwe wakubwa hawana kabisa. Binadamu (Homo) anahesabiwa pia kama jenasi yenye spishi moja katika familia hii.

Yaliyomo

Eneo na uenezaji [hariri]

Masokwe wanaishi katika maeneo ya tropiki ya Afrika (masokwe mtu na ngagi) na Asia (orangutanu). Wote ni wakazi wa misitu ila tu masokwe mtu wanaingia pia kwenye nchi ya manyasi.

Spishi za Afrika [hariri]

Spishi za Asia [hariri]

Spishi za kabla ya historia [hariri]

Picha [hariri]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Crystal Clear app babelfish.png Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sokwe (Hominidae) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.