Ziwa Kanyaboli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ziwa Kanyaboli (au Kanyabola) ni ziwa dogo la Kenya (kaunti ya Siaya)[1].

Lina eneo la kilometa mraba 10.63.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. www.getamap.net