Ziwa Baringo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ziwa Baringo linapatikana katika Bonde la Ufa, kaskazini mwa Kenya, lina eneo la km2 130, na liko mita 970 juu ya usawa wa bahari.

Linalishwa na mito mbalimbali, ikiwemo mto Molo, mto Perkerra na mto Ol Arabel, lakini halina mito inayotoka.