Nenda kwa yaliyomo

Ziwa Ol Bolossat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lake Ol Bolossat is located in Kenya
Lake Ol Bolossat
Lake Ol Bolossat
Lake Ol Bolossat (Kenya)

Ziwa Ol Bolossat linapatikana katika kaunti ya Nyandarua, katikati ya nchi ya Kenya.

Liko mita 2,325 juu ya usawa wa bahari. Unaenea katika kilometa mraba 6.93.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]