Nenda kwa yaliyomo

Ziwa Chew Bahir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ziwa Chew Bahir (kwa Kiamhari: ጨው ባሕር č̣ew bāhir, "Ziwa ya Chumvi") au Ziwa Istifanos, Stefanie, Basso Naebor na Chuwaha, ni ziwa la Ethiopia kusini, ambalo likijaa linaenea hadi kaskazini mwa Kenya.

Liko mita 573 juu ya usawa wa bahari.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Chew Bahir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.