Nenda kwa yaliyomo

Ziwa Nasikie Engida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ziwa Nasikie Engida linapatikana katika kaunti ya Kajiado nchini Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).

Maji yake yanatokana na mto Ndupa na mto Olkeju Aross.

Ndani yake kinapatikana kisiwa cha Olempolos.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]