Ziba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ziba ni jina la kijiji na kata ya Wilaya ya Igunga katika Mkoa wa Tabora, Tanzania yenye postikodi namba 45622 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,893 waishio humo.[2]

Inapatikana katika makutano ya barabara zitokazo Chomachankola, Nzega, Igunga na Nkinga.

Wakazi wake wengi ni Wanyamwezi na Wasukuma lakini pia kuna Wanyiramba na Waha kiasi. Shughuli kubwa ya raia wa Ziba ni kilimo, ufugaji na biashara.

Shughuli kubwa za wakazi ni kilimo, ufugaji na biashara.

Pia wakazi ni wapenzi wa soka chini ya timu yao pendwa Ziba Sport Club.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Igunga - Mkoa wa Tabora - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bukoko | Chabutwa | Choma | Iborogelo | Igoweko | Igunga | Igurubi | Isakamaliwa | Itumba | Itunduru | Kining'ila | Kinungu | Kitangili | Lugubu | Mbutu | Mtunguru | Mwamakoma | Mwamala | Mwamashiga | Mwamashimba | Mwashiku | Mwisi | Nanga | Ndembezi | Ngulu | Nguvumoja | Nkinga | Ntobo | Nyandekwa | Simbo | Sungwizi | Tambalale | Ugaka | Uswaya | Ziba


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.