Waoratori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Filipo Neri.

Waoratori ni mapadri na mabruda wa Kanisa Katoliki wanaoishi pamoja kijumuia kwa kufungwa na upendo, bila ya nadhiri.

Shirika hilo lilianzishwa na Filipo Neri (15151595) mjini Roma. Leo lina nyumba zaidi ya 70 ulimwenguni kote, zikiwa na mapadri 500 hivi.[1]

Watakatifu wa shirika[hariri | hariri chanzo]

Wenye heri wa shirika[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. History. The London Oratory. Iliwekwa mnamo 2007-12-24.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]