Vital Kamerhe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Vital Kamerhe (alizaliwa 4 Machi 1959) ni mwanasiasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kiongozi wa Umoja wa Taifa la Kongo.

Alikuwa Rais wa Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tangu 2006 hadi 2009. Kabla ya hapo alikuwa Waziri wa Habari.

Baada ya kujiuzulu kama Rais wa Bunge, alikuwa mpinzani na kuanzisha UNC. Alikuwa mgombea katika uchaguzi wa rais wa mwaka 2011.

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vital Kamerhe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.