Nenda kwa yaliyomo

Venansi wa Luni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Venansi wa Luni (karne ya 6 - Fabriano, 603 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo, leo nchini Italia, kuanzia mwaka 594 hadi kifo chake.

Rafiki yake aliyemheshimu, Papa Gregori I, alimtuma tena kwao ambapo alishughulikia hasa wakleri na wamonaki [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Oktoba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Eliana M. Vecchi, San Venanzio vescovo di Luni : la vita, la legenda, la memoria - atti della giornata di studi, Ceparana, Palazzo Giustiniani, 15 ottobre 2005, La Spezia, Istituto internazionale di studi liguri, Fondazione della Cassa di Risparmio della Spezia, Provincia della Spezia, Comune di Bolano. ISBN 8886999887 archive.is
  • Raffaele Ambrosini, Istoria di san Venanzio vescovo di Luni, titolare della chiesa parrocchiale e patrono di Albacina ove si venera il suo sacro corpo, Jesi, Tip. Fratelli Ruzzini, 1873.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.