Utalii nchini Afrika Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Afrika Kusini ni kivutio cha watalii na sekta hiyo inachangia kiasi kikubwa cha mapato ya nchi. Wakala rasmi wa Utalii wa Afrika Kusini ana jukumu la kuitangaza Afrika Kusini kwa ulimwengu. Kulingana na Baraza la Utalii Duniani, sekta ya utalii ilichangia moja kwa moja ZAR bilioni 102 katika Pato la Taifa la Afrika Kusini mwaka 2012, na inasaidia 10.3% ya nafasi za kazi nchini. [1][2]

Idadi ya watalii wanaoingia kila mwaka[hariri | hariri chanzo]

Watalii walio wasili kutoka ichi za 10 SADC [3] Watalii kutoka nchi nyingine [4]
Ranking Country

of origin

Visitor arrivals

2015

% Total

arrivals

Ranking Country

of origin

Visitor arrivals

2015

% Total

arrivals

1 Bendera ya Zimbabwe Zimbabwe 1 900 791 28.9 1 Ufalme wa Muungano 407 486 19.0
2 Bendera ya Lesotho Lesotho 1 394 913 21.2 2 Marekani 297 226 13.9
3 Bendera ya Msumbiji Mozambique 1 200 335 18.3 3 Bendera ya Ujerumani Ujerumani 256 646 12.0
4 Bendera ya Eswatini Eswatini 838 006 12.7 4 Bendera ya Ufaransa Ufaransa 128 438 6.0
5 Bendera ya Botswana Botswana 593 514 9.0 5 Bendera ya Uholanzi Uholanzi 121 883 5.7
6 Bendera ya Namibia Namibia 212 514 3.2 6 Bendera ya Australia Australia 99 205 4.6
7 Bendera ya Zambia Zambia 161 259 2.5 7 China 84 691 3.9
8 Bendera ya Malawi Malawi 135 260 2.1 8 Bendera ya Uhindi India 78 385 3.7
9 Bendera ya Angola Angola 48 416 0.7 9 Bendera ya Kanada Kanada 56 224 2.6
10 Bendera ya Tanzania Tanzania 35 817 0.5 10 Bendera ya Italia Italy 52 377 2.4

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Travel & Tourism Economic Impact 2013 South Africa". WTTC. March 2013. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 March 2014. Iliwekwa mnamo 20 November 2013.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Cabinet appoints new SA Tourism Board". 
  3. "Statistics SA: Tourism 2015". 
  4. "Statistics SA: Tourism 2015".