Nenda kwa yaliyomo

Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka USSR)
Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi
Росси́йская Сове́тская Федерати́вная Социалисти́ческая Респу́блика

(Rosiiskaya Federativnaya Sozialisticheskaya Respublika)
Bendera ya Urusi wa Kisovyeti Nembo la Urusi wa Kisovyeti
Jamhuri ya Kirusi ndani ya Umoja wa Kisoveti
Jamhuri ya Kirusi ndani ya Umoja wa Kisoveti
Wito la Umoja wa Kisovyeti:
Пролетарии всех стран, соединяйтесь!

Proletarii bsekh stran, soyedinyaityes
(Wafanyakazi wa nchi zote muungane!)
Lugha rasmi hali halisi Kirusi
Mji Mkuu Moskva
Mwenyekiti wa mwisho wa Kamati Kuu ya Bunge Boris Yeltsin
Kuanzishwa kama Jamhuri
- Jamhuri ndani ya Umoja wa Kisoveti
- kufutwa
7 Novemba 1917

30 Desemba 1922

12 Desemba 1991
Eneo

- % maji

17.075.200 km²
(wa kwanza katika USSR)
0,5%
Wakazi 147.386.000 (sensa 1989)
Msongamano 8,6/km²
Pesa Rubel (рубль)
Kanda za Wakati UTC +2 hadi +11

Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi (kwa kifupi: "Jamhuri ya Kisovyeti ya Kirusi" au: "Urusi wa Kisovyeti") (Kirusi: Росси́йская Сове́тская Федерати́вная Социалисти́ческая Респу́блика, РСФСР RSFSR) ilikuwa kitengo kikubwa kati ya jamhuri 15 za Umoja wa Kisovyeti chenye wakazi wengi. Baada ya mwisho wa Umoja wa Kisovyeti ikawa Shirikisho la Urusi tangu 1991.

Urusi wa Kisovyeti ulikuwa jamhuri ndani ya Umoja wa Kisovyeti. Ndani yake ilikuwa na muundo wa shirikisho. Maeneo yenye wakazi wenye lugha au utamaduni usio wa kirusi yalipewa maeneo ya pekee yaliyoitwa pia Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii halafu kwa jina la taifa au kabila la eneo. Kinadharia jamhuri hizi zilijitawala ndani ya Urusi lakini hali halisi zilikuwa na kiwango fulani ya kujiamulia katika mambo ya utamaduni menginevyo ziliongozwa kutoka Moskva.

Jamhuri hizi ndani ya Urusi zilikuwa:

Baada ya mwisho wa ukomunisti 1991 zimeendelea kama majimbo ya kujitawala ndani ya Urusi zikiendelea kuitwa "Jamhuri" zikiwa na kiwango cha kujitawala kikubw zaidi kuliko mikoa ya shirikisho inayojitawala pia kwa kiasi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.