Nenda kwa yaliyomo

Udmurtia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya mkoa wa Udmurtia
Mahali pa Udmurtia katika Russia

Udmurtia ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Russia. Mji mkuu wake ni Izhevsk.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Udmurtia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.