Tosin Oshinowo
Tosin Oshinowo ni mbunifu wa Nigeria, mjasiriamali, mzungumzaji wa umma na mwandishi.
Tosin, anajulikana kwa kazi zake za usanifu wa Maryland Mall huko Lagos, ni mhitimu wa Usanifu kutoka Chuo cha Kingston London na alikuwa na shahada ya Uzamili katika miundo ya Miji kutoka shule ya Usanifu ya Bartlett, Chuo Kikuu cha London . Baada ya kufanya kazi katika miradi mbalimbali na makampuni ya Usanifu Ulaya na Afrika, Tosin alianzisha kampuni yake ya shauri wa Usanifu, mwaka 2012. [1] [2]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Tosin alichagua kufanya kazi ya ubunifu ambapo chaguzi hili lilichangiwa sana na mienendo yake kipindi cha awali cha maisha yake. Kwenye mahojiano ambayo yalifanyika kwenye tovuti ya Omenkaonline.com, Tosin alielezea kuhusika kwake katika Ubunifu wake ,mafanikio yake katika uchoraji wakisasa kipindi akiwa anasoma bado elimu ya juu, na uwezo wake wakutukuka wakuelewa michoro katika umri mdogo wa miaka 12, vilevile akishirikiana na baba yake kwenye kusimamia ujenzi wa nyumba ambayo baba yake atakuwa akiishi baada ya kustaafu.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Why MARYLAND Mall Was Painted Black, LAGOS Architect, TOSIN OSHINOWO Reveals | City People Magazine", City People Magazine, 2017-06-19. (en-US)
- ↑ "Tosin Oshinowo: A Damsel In Men’s Structural World", September 23, 2018. Retrieved on 2022-03-16. Archived from the original on 2022-03-16. Daniel Azania (September 23, 2018). "Tosin Oshinowo: A Damsel In Men's Structural World" Ilihifadhiwa 16 Machi 2022 kwenye Wayback Machine.. The Guardian. Retrieved October 27, 2018.
- ↑ Enwonwu, Oliver (Desemba 2016). "Breaking the Mould with Tosin Oshinowo-Omenka Online". www.omenkaonline.com (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-16. Iliwekwa mnamo 2018-05-03.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tosin Oshinowo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |