Nenda kwa yaliyomo

Sola wa Husen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro mdogo wa Mt. Sola wa karne ya 11.

Sola wa Husen (pia: Solus, Sol, Sualo; Uingereza, karne ya 8 - Solnhofen, Ujerumani, 4 Desemba 794) alikuwa padri mmisionari chini ya askofu Bonifas huko Ujerumani [1][2].

Kwa kujisikia wito wa mkaapweke, alimjuomba ruhusa ya kujifunga kusali tu kati ya Bavaria na Thuringia.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Desemba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • "Ermanrici Sermo de vita s. Sualonis dicto Soli", ed. O. Holder-Egger, in: Monumenta Germaniae Historica Scriptores XV/1, pp. 151-163
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.