Nenda kwa yaliyomo

Shebeen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shebeen katika Joe Slovo Park, Cape Town

Shebeen, hapo awali ilikuwa baa au kilabu ambapo pombe ziliuzwa bila leseni. Neno hili limeenea maeneo mbalimbali na asili yake ni Ireland, lakini limeenea maeneo mbalimbali kama Kanada, Marekani, Uingereza, Zimbabwe, Namibia, Malawi na Afrika Kusini. Kwa sasa Afrika Kusini Shebeen nyingi hutumika kwa uhalali kabisa. [1] [2]

Huko Afrika Kusini na Zimbabwe, shebeen mara nyingi hupatikana katika vitongoji kama njia mbadala ya baa, ambapo Afrika Kusini kulikuwa na ubaguzi wa rangi enzi ya Rhodesia. Waafrika wengi walizuiwa kuingia kwenye baa, baa zilitengwa kwa ajili ya wale wenye asili ya Kizungu.

  1. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-04-09. Iliwekwa mnamo 2009-04-08.{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link)
  2. "News - Finance/ Labour: Zoning could legalise Western Cape shebeens". www.iol.co.za. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-06-19.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shebeen kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.