Leseni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Leseni (kutoka neno la Kiingereza "license") inaruhusu mtu au kampuni kufanya kitu ambacho watu au kampuni nyingine hawaruhusiwi kufanya.

Mtu hupaswa kulipa pesa, na labda kupitia majaribio, ili kupata leseni. Leseni huwa inaandikwa lakini haipaswi kupa hivyo.

Aina nyingi za leseni zinaweza kutumika tu na mtu aliyepewa. Leseni inaweza kuwa ya muda au ya kudumu.

Mtu mwenye leseni anaitwa "mwenye leseni" (kwa Kiingereza licensee).

Scale of justice 2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leseni kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.