Nenda kwa yaliyomo

Pantokrator

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya kale zaidi ya aina ya Kristo Pantokrator, (Monasteri ya Mt. Katerina, Mlima Sinai, Misri.
Kristo Pantokrator katika kuba, Kanisa la Kaburi na Ufufuo wa Yesu, Yerusalemu.
Mozaiki ya Kristo Pantokrator katika kanisa kuu la Cefalù, Sisilia, Italia.

Pantokrator ni aina mojawapo ya michoro ya Yesu Kristo ambayo inalenga kumtangaza kuwa Mwenyezi Mungu.

Sababu ni kwamba neno hilo la Kigiriki Παντοκράτωρ lilitumiwa na watafsiri wa kwanza wa Biblia ya Kiebrania kwa ajili ya majina mawili ya Mungu: YHWH Sebaoth (Bwana wa majeshi) na El Shaddai (Mwenyezi Mungu).

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pantokrator kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.