Pantaleo mfiadini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya karne ya 13 iliyoko katika monasteri ya Mt. Katerina juu ya Mlima Sinai ikionyesha pia matukio ya maisha ya Mt. Pantaleo.

Pantaleo (kwa Kigiriki Παντελεήμων, Panteleímon, yaani "Mwenye huruma tupu") alikuwa Mkristo wa Nikomedia huko Bitinia aliyefia dini yake wakati wa dhuluma ya Kaisari Diocletian mwaka 305 BK[1].

Kabla ya hapo alikuwa akitoa huduma za kitatibu bila kudai malipo yoyote [2]. .

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki[3], Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Julai[4][5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.