Navneet Aditya Waiba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Navneet Aditya Waiba

Navneet Aditya Waiba ni mwimbaji wa nyimbo za kitamaduni kutoka India mwenye asili ya Nepali, akiwa binti wa marehemu Hira Devi Waiba, mwanzilishi wa muziki wa kitamaduni wa Nepali. [1]

Navneet na kaka mdogo Satya Aditya Waiba (mtayarishaji/msimamizi) ndio wasanii pekee katika aina ya muziki wa kitamaduni wa Kinepali wanaoimba na kutengeneza nyimbo halisi za kitamaduni za Kinepali bila upotoshaji au kuingiza usasa katika muziki huo na hivyo hutumia mara nyingi ala za muziki za vifaa vya asili na vya kitamaduni ya Nepali. [2] [3] [4]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Navneet Aditya Waiba alizaliwa na mama yake Hira Devi Waiba na baba yake alijulikana kwa jina la Ratan Lal Aditya, na alilelewa katika mji wa mlima wa Kurseong huko Darjeeling, West Bengal, India. Nanveet na Satya walikulia katika mazingira ya muziki kutokana na mama na babu yao Sri Singh Man Singh Waiba ambaye pia alitokea kuwa mshauri/mkufunzi wa muziki wa mama yao. [5]

Elimu na taaluma[hariri | hariri chanzo]

Navneet alipata Shahada yake ya Uzamili ya Kiingereza (MA) kutoka Chuo Kikuu cha Bengal, India. [6] [7] Alifanya kazi kama mfadhili mkuu wa shirika la ndege la Cathay Pacific, Hong Kong . [7]

Kazi ya muziki[hariri | hariri chanzo]

Timu[hariri | hariri chanzo]

Satya Aditya Waiba, kaka yake anatayarisha na kusimamia muziki huku bendi ya "Kutumba" kutoka Kathmandu ikifanya muziki. [8] [9]

Safari ya muziki[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kifo cha mama yake Hira Devi Waiba mwaka 2011, Navneet na Satya walishirikiana na kuanza kazi ya kufufua, kulinda na kutangaza Muziki wa Kitamaduni wa Kinepali na hivyo kudumisha urithi wa muziki wa kizazi cha zamani kwenye familia. Nyimbo zao mara nyingi huakisi maswala ya wanawake, migogoro na matatizo katika jamii ya Kinepali. [10]

Wawili hao kaka na dada walipanga upya na kurekodi tena nyimbo za Hira Devi Waiba na mwaka 2015 walichagua nyimbo za Hira Devi Waiba zilizo fanya vizuru sana na maarufu. Waliipa albamu hiyo jina la ' Ama Lai Shraddhanjali - Heshima kwa Mama ' na kuitoa tarehe 3 Novemba 2017 katika ukumbi wa kihistoria, wa Patan Museum huko Kathmandu, Nepal . [11] [12] [13] [14] [15]

"Ningependa kuhamasisha kizazi kipya kurudi kwenye mizizi tuliyo nayo. Ninahisi kuwa nyimbo hizo zitarudisha kumbukumbu hizo." -Navneet Aditya Waiba [16]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

No. Jina Urefu
1. "Aye Syangbo"   4:23
2. "Chuiya ma Hah"   4:12
3. "Dhankuta"   4:07
4. "Ramri ta Ramri"   3:27
5. "Jhilke Naachayko"   4:23
6. "Phariya Lyaaidiyechan"   4:35
7. "Kahu Bela"   1:23
Total length:
23:30

Miziki pekee[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Daughter revives Mother's songs". The Telegraph. 26 January 2017. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 February 2017.  Check date values in: |date=, |archivedate= (help)
  2. "Music Khabar हिरादेवी वाइवाका गीतलाई पुनर्जीवन - Music Khabar". 2018-06-10. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-10. Iliwekwa mnamo 2020-06-28. 
  3. "CARRYING FORWARD HER MOTHER'S LEGACY - NAVNEET ADITYA WAIBA". WOW Magazine Nepal | World Of Women (kwa en-US). 2020-12-01. Iliwekwa mnamo 2021-03-13. 
  4. "CARRYING FORWARD HER MOTHER'S LEGACY - NAVNEET ADITYA WAIBA". WOW Magazine Nepal | World Of Women (kwa en-US). 2020-12-01. Iliwekwa mnamo 2021-04-07. 
  5. "Songs of Tribute". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 December 2017. Iliwekwa mnamo 2 January 2018.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  6. "आमाका गीतलाई पुनर्जन्म दिँदै", 2016-03-17. Archived from the original on 2018-03-12. 
  7. 7.0 7.1 "हीरादेवीलाई सम्झाउँदै". Archived from the original on 20 June 2017. 
  8. "Daughter revives Mother's songs". The Telegraph. 26 January 2017. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 February 2017.  Check date values in: |date=, |archivedate= (help)
  9. "Songs of Tribute". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 December 2017. Iliwekwa mnamo 2 January 2018.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  10. "Songs of Tribute". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 December 2017. Iliwekwa mnamo 2 January 2018.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  11. "Kantipur News". Retrieved on 2023-04-14. Archived from the original on 2017-06-20. 
  12. "Tribute to a Mother - Namsadhim". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-23. 
  13. "फरिया ल्याइदेछन् तेइ पनि राता घनन !". 
  14. "आमाको गीत गाएर नवनीतले नचाइन् कालेबुङलाई - खबरम्यागजिन". Retrieved on 2023-04-14. Archived from the original on 2018-03-27. 
  15. "Sounds of 2016". 
  16. "Songs of Tribute". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 December 2017. Iliwekwa mnamo 2 January 2018.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  17. "गायिका नवनीत वाइबाको 'तिन धाङ' सार्वजनिक (भिडियो )". गायिका नवनीत वाइबाको ‘तिन धाङ’ सार्वजनिक (भिडियो ) (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-11-19. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Navneet Aditya Waiba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.