Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Muddyb/Archive 5

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Archive Hii ni ukurasa wa Hifadhi ya Majadiliano ya Awali. Usihariri ukurasa huu usiongeze wala kupunguza kitu.
Ukitaka kujadiliana upya mambo yaliyomo humo nenda kwa ukurasa wa majadiliano ya sasa.

9000

Muddy kwa kweli ni furaha ya kwamba tumefikia kiwango cha 9,000. Asante.--Kipala (majadiliano) 13:41, 3 Februari 2009 (UTC)

Wikipedia

My home wikipedia is Vietnamese Wikipedia (Wikipedia tiếng Việt). This language is very interesting with 6 tones and more. See also: Vietnamese.Quangbao (majadiliano) 13:51, 7 Februari 2009 (UTC)

Imefanyika. The Vietnamese Wikipedia has got the page here on the Swahili! See it here.. Karibu sana.--Mwanaharakati (Longa) 07:37, 23 Mei 2009 (UTC)

Kata

Muddy, pole na uchovu. Naona ajali ndogo imetokea - umehamisha Dodoma kwenda Mkoa wa Arusha. Natumaini ya kwamba hakuna sheria ya kukuweka ndani kwa sababu umenyaganya madaraka ya bunge na rais! --Kipala (majadiliano) 17:30, 9 Februari 2009 (UTC)

Muddy naona unapiga mbio kabisa! Ombi moja: kama umemaliza kata za mkoa fulani hamisha jina la mkoa kwenye ukurasa Wikipedia:Matukio ya hivi karibuni panapofaa. Yaani si rahisi kuhakikisha kama umemaliza sehemu za kata hizo au zote tayari. -- Ukianza mkoa bila kumaliza peleka jina kwenye sehemu ya Wikipedia:Matukio_ya_hivi_karibuni#Mikoa_ambayo_sehemu_ya_kata_zao_zina_makala na ukimaliza zote basi peleka juu kwa Wikipedia:Matukio_ya_hivi_karibuni#Mikoa_ambayo_kata_zote_zimeanzishwa_makala_ya_mbegu bila kuandika kwenye ukurasa wa majadiliano. Itarahisisha mawasiliano. Mimi najitahidi kuangalia majina yanayotokea mara kadhaa hii ni sababu naweka zote kwanza kwenye wikipedia:sanduku la mchanga. Rangi inaonyesha! Naona pia ya kwamba mwanzoni tulianzisha makala za wilaya mara nyingi bila "wilaya ya" lakini kama kuna mji au kata yenye jina hilihili sijui nadhani afadhali tuache jina kwa mji si kwa vilaya au unaonaje? --Kipala (majadiliano) 16:39, 11 Februari 2009 (UTC)
Nimekupata mzee wangu! Kuhusu makala kuandikwa jina la Wilaya bila kusema "Wilaya ya.... Mimi sikufanya hivyo. Nilizikuta tangu hapo awali, mzee wangu. Pia ninaunga mkono hoja hiyo! Basi nitaelekeza kurasa zote ambazo zinataja Wilaya bila kusema Wilaya ya... Ahsante kwa taarifa.--!Mwanaharakati (Longa) 16:56, 11 Februari 2009 (UTC)

Siri za Kagera

Basi tumia anwani hii [1]. Kazi njema! (Habari za wenzako ofisini?)--Kipala (majadiliano) 10:33, 21 Februari 2009 (UTC)

10,000

Hongera kwako! Basi pumzika sasa! Ni kazi ya mtumwa vigezo hivi pamoja na mbegu, sivyo? --Kipala (majadiliano) 14:17, 21 Februari 2009 (UTC)

Kazi ya mtumwa namaanisha ya kwamba makala hizi zote za mbegu si kazi ya kuvutia angalau kwangu hata kidogo. Ni kazi ya kuchosha kama kiwandani ninaifanya tu kwa sababu naona maana yake kwa kukaribisha watu waongeze chao lakini kazi ya kuridhika ni kutunga makala mazuri. Hata hivyo ninafurahi ya kwamba tumefikia kiwango hiki ninajitahidi kuitangaza katika blogu pamoja na kuwakaribisha watu kuchangia juu ya kata ya nyumbani.
Basi ujivunie tu! Kweli tumechapa kazi sana kwangu ilikuwa kuandaa vigezo na kubadilisha viungo kutokana na majina mengi yanayorudia mahali mbalimbali. (kazi ya mtumwa kabisa!!!) Sasa nitajaribu kuendelea na makala 1000 ya msingi halafu kuangalia mambo ya kuvutia. Ila tu hata mimi naona ni heshima yangu kushirikiana nawe na kusukumua mradi huu pamoja. Asante kwa michango yako yote!! --Kipala (majadiliano) 00:45, 24 Februari 2009 (UTC)
HONGERENI!!! Mmenifurahisha bila kikomo. Asanteni sana. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 19:21, 24 Februari 2009 (UTC)
Nilikaa kimya muda mrefu, kumbe nyinyi mmesukuma gurudumu ng'ambo ya 10,000! Pongezi pongezi pongezi! Naahidi kuwaunga mkono kidogo hivi karibuni! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:28, 1 Machi 2009 (UTC)

Wikipedia stubs

Thank you, Muddy (aka: Mohammed George). I just started learning KiSwahili today. I think I will help write some of the Wiki stubs for the different states of the USA. You only have a few written so far. - jhendin (aka: James Hendin) February 21st, 2009, 10:48.

Hello

I can't read Swahili. I came here from an inter-language link. I just wanted to say that it looks like there is a typo on the main page. It says 'Sidney' where I think it was meant to be 'Sydney'. Plodoppum (majadiliano) 16:55, 26 Februari 2009 (UTC)

Imefanyika. Thanks for your time! Welcome again!!!--Mwanaharakati (Longa) 17:02, 26 Februari 2009 (UTC)

Scn:Kiswahili

Dear friend, apologizes me for this.... not to have it to bad.... in this month..salutes allowing I will make the article... I have had problems of heart... love... and also problems in Italy and in my village native.... cumnque is mine to have to do it... it is sorry...--Lodewijk Vadacchino (majadiliano) 20:11, 2 Machi 2009 (UTC)

I hope to have specified the real motives for my absence, unforgivable but justified... it is my intention to write something in these giorni..naturalmentes health and appointments allowing... I apologize for my incoherence... but the health in this last month has not benefited me... I have been busy for varied cose..anche to television dibbattiti... without being never in television. .... but it is this state a very fatiguing month for me..quello begun in February 2 .... among appointments you launch and other complications of heart to affective level... I have been forced at the family doctor to avoid stress..ma it is my appointment to respect what I owe you.... not to have fear and grudge.... I will respect the pacts as soon as health will return well... Hijambo.--Lodewijk Vadacchino (majadiliano) 00:01, 3 Machi 2009 (UTC)
Hi there! As a matter of fact, I didn't understand what you was about to say! I guess it is such heart disease? I don't know, but if you ask for forgiveness, there you are. To be honest with you, that thing what you did to me wasn't a good thing at all. But the good thing is you understood what you did! Let's toast for the friendship, though you are traitor. Cheers.--Mwanaharakati (Longa) 08:16, 3 Machi 2009 (UTC)
Hi Muddy. .... tonight I write you something promised.... my problem of heart was the love. .... I have madly fallen in love of a girl and our families they were type Romeo and Jiuliet. .... My Life is Venezuelan.... I Love her And I Die For Her. .... Here is My Long Absence is My Cardiac Problem.... Calm Now MI I Put To the work.... it Interests your Language SWAHILI In Sicilian And Such is. .... not to Worry You.... Now I am Recovered.... The love My MI is Near. .... you Know How The Punishments Of love are. .... Excuse me.... MA To the Heart He doesn't Command... MI I Put To the work With A STUB...--Lodewijk Vadacchino (majadiliano) 11:44, 2 Aprili 2009 (UTC)
Hahahaha. Ungewekuwa upo kwetu Afrika, basi wangekucheka na kusema: Wanawake wote hawa ndiyo umliliye huyo mmoja? It is a good thing to be the man with the really love. And I hope I'll learn from you! But next time don't act like that, cause I will not stop laugh at you!!!!! You are a good man and I hope you will accomplish our promises. Kila la kheri.--Mwanaharakati (Longa) 12:49, 2 Aprili 2009 (UTC)

Pole!!

Nimesoma habari yako kwenye ukurasa wa mwenzako Kipala na ningependa kutoa pole kwa hali ngumu! Ni matumaini yangu kuwa unapata misaada mingi toka jamii. MwenyeziMungu anatoa na anatwaa na maisha si rahisi nyakati nyingine. --Amina (majadiliano) 21:21, 7 Machi 2009 (UTC)


Mpendwa kaka, mimi nipo ulayani, katika nchi ya Sweden. Sijaingia kutunza makala kwa siku nyingi sahisisi, ila nafurahi kusikia maendeleo ya wiki Swahili.--80.78.216.111 09:33, 23 Machi 2009 (UTC)

Ndiye mimi, Amina (Rehema) aliyeandika juu! --Amina (majadiliano) 09:34, 23 Machi 2009 (UTC)

Muziki

Salaam Muddy naomba nisaidie kitu kimoja kuhusu lugha. Napenda kusikiliza muziki ya bongo kwa http://www.jamiiforums.com/bongoflava.php (jumla ni orodha 4). Sasa kuna wimbo ni wa pili kwenye orodha hii "Marlaw - Mafungu". Ni watu wawili wanaoimba kijana na binti nisipokosei wanavuta maneno mengi kwa kuongeza "i" mwishoni: "ninakupendai" , mzimai, funikai, kujuai ... Ni lahaja au mtindo maalumu au nini? --Kipala (majadiliano) 20:46, 15 Machi 2009 (UTC)

Kipala, salam. Huku Bongo hiyo tunaita mapozi. Anavuta maneno ili aweke utamu zaidi. Pia, watu wanaoimba namna hiyo tunawaita "makabaisa". Kabaisa ni mtu anayeimba kwa mapozi na kujisikia wakati anaimba (analinga na kujiamini kupindukia). Hivyo, naomba zoea hiyo hali mzee wangu. Kuhusu maneno, ukisikia neno ambalo huku lielewa, basi nitakueleza! Kazi njema!!--Mwanaharakati (Longa) 07:24, 16 Machi 2009 (UTC)

Kiswahili

I can only learn from the masters!

I'm sure I'll be here for a while. Once I finish with the United States I'm sure there will be other things I can work on. Jhendin (majadiliano) 22:14, 18 Machi 2009 (UTC)

Vileo

angalia vileo ulivyoagiza: heroini afyuni. Eti unasikia zaidi dawa la kulevya au dawa ya kulevya? Kwa wingi "dawa za kulevya" au madawa ya kulevya ?? wasalaam --Kipala (majadiliano) 09:47, 25 Machi 2009 (UTC)

Calabrian: Dottò signu tornatu ha vistu ca unn signu un quaquaraqqua? A Fimmina è bona assai caru mio e tinne fa fari cose!!! Dumanu Ti Finisciu l'articulu e ussi chiù annervatu!

English:Mr i return..see im a man of onor! Women is most important my dear and she make a many! Tomorrow i finish this article..when u are happy....!

Please Translate in English the Kiswahili frase....--Lodewijk Vadacchino (majadiliano) 23:03, 16 Aprili 2009 (UTC)

Hey, mambo vipi. You mean this?
  • Ungewekuwa upo kwetu Afrika, basi wangekucheka na kusema: Wanawake wote hawa ndiyo umliliye huyo mmoja?--Mwanaharakati (Longa) 06:55, 17 Aprili 2009 (UTC)

Angalia hii

Je Muddy umeshaona hii: http://wikimania2009.wikimedia.org/wiki/Scholarships ? Ungepata muda (likizo??) . Sijui nafasi namna gani lakini jaribu tu! --Kipala (majadiliano) 10:02, 23 Aprili 2009 (UTC)

Nimeona mara kadhaa! Lakini ninasikitika sina vigezo vya kuweza kuhudhuria mkutano huo! Sana-sana ni passport ambayo wananizungusha kwa muda mrefu sasa. Lakini ninashukuru kwa kunikumbusha kuhusu mwaliko huo! Je, ulishawahi kuhudhuria?--Mwanaharakati (Longa) 10:28, 23 Aprili 2009 (UTC)
Hapana sijawahi kwenda. Ningependa lakini muda na pesa . . . Nadhani kama wewe ungejaribu nafasi labda si dogo maana walisema kuwa wanapenda wiki za Kiafrika na wewe ni Mswahili sanifu wa pekee aliyeko... --Kipala (majadiliano) 15:32, 23 Aprili 2009 (UTC)

Hello. I made some stub. You can add some details in infobox like: data_uruchomienia (meaning when project started) and 1000 (meaning when 1000. article was written). Greetings. Ludmiła Pilecka (talk page)

Tuzo ya Barnstar

Kwanza samahani kwa ku-duplicate picha ya Benedikto Mwafrika. Nilijaribu tofauti bure, ndipo nilipooona njia hiyo, kumbe ni kosa. Tuzo hiyo ni nini? Riccardo Riccioni

Szuahéli Wikipédia

Jambo! Yes, I do remember you. Yes, I will do that article on the Hungarian Wikipedia... :) By the way, right yesterday I saw your article about our Wiki in Swahili :) --Eino81 (majadiliano) 09:47, 8 Mei 2009 (UTC)

It's ready: hu:Szuahéli Wikipédia --Eino81 (majadiliano) 11:34, 8 Mei 2009 (UTC)

Thank you, Muddy, for the good word! When it comes to my knowledge of Swahili I still feel that my level is that of a small child. Don't forget, I still use a dictionary a lot. Jhendin (majadiliano) 11:46, 11 Mei 2009 (UTC)

Swahili people

When I see pictures of Swahili people smiling it makes me smile, because they have such beautiful smiles. And if they smile because I do something for them, that is enough reward for me! Your bro, Jim Jhendin (majadiliano) 21:09, 11 Mei 2009 (UTC)

Request for help

Hello! Please help translate this part into Swahili language and upload to sw.wikipedia.org. Thank you.Genghiskhan (majadiliano) 03:14, 14 Mei 2009 (UTC)


Tiên Sơn cave in Phong Nha-Ke Bang

Phong Nha-Ke Bang is a national park in Quang Binh, Vietnam, 50 km north Đồng Hới, 44 km north of Kiwanja cha Ndege cha Dong Hoi, 450 km south of Hanoi. The park has over 300 caves and grottoes with total length of 126 km. The park also has biodiversity. In July 2003, UNESCO included this park in its world heritage sites.[1][2] In April 2009, British explorers discovered the world’s largest cave here.[3]


Imefanyika. See: Hifadhi ya Taifa ya Phong Nha-Ke Bang. You're welcome.--Mwanaharakati (Longa) 15:31, 16 Mei 2009 (UTC)

Notes

  1. UNESCO, (Kiingereza)
  2. New Lizard Species Found In Phong Nha-Ke Bang,(Kiingereza)
  3. Explorers find world's largest cave in Vietnam



Mudday, salaam angalia maoni naomba. --78.51.53.229 17:51, 16 Mei 2009 (UTC)