Mtumiaji:Kipala/Archive 11

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ukurasa mama: Majadiliano ya mtumiaji:Kipala


Medical Translations

Please review [1]. The original source document did not have those definitions at the beginning. If they are not helpful, delete them.--Lucas559 (majadiliano) 15:31, 20 Oktoba 2015 (UTC)

Also review [2].--Lucas559 (majadiliano) 17:21, 20 Oktoba 2015 (UTC)
Please review [3].Lucas559 (majadiliano) 22:10, 29 Novemba 2015 (UTC)
Hi Lucas, there is already a short entry on Kichocho / schistomiasis. The new entry by your translator uses a word which does not exist in Swahili "Homa ya konokono" = Snail fever. Usual is Kichocho, then bilharzia and sometimes schistomiasis. Can you ask him to combine? Kipala (majadiliano) 05:26, 30 Novemba 2015 (UTC)
Nice edits Kipala. (Sorry I missed this note for you.)--Lucas559 (majadiliano) 17:45, 7 Januari 2016 (UTC)
Please review [4].--Lucas559 (majadiliano) 17:45, 7 Januari 2016 (UTC)

Kujisomea

Ndugu, za siku nyingi? Hongera kwa juhudi kuhusu kata zetu. Pia nilitaka kukuambia sijaelewa mipango ya Malangali: ni kama alitaka kutukatisha tamaa, asu siyo? Nadhani umeona juhudi zetu za leo: niko na wanafunzi wa kidato cha pili. Wengine wengi wako likizo au wana mitihani. Bado kidogo tutapiku tena wiki ya Yoruba... Nadhani umeona pia nilivyotumia kitabu chako cha historia ya Kanisa... Asante sana. Kuhusu "kujisomea" naona kwa kawaida ni kabla ya "viungo vya nje". Shalom! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:16, 5 Novemba 2015 (UTC)

Mpendwa, asante kwa salamu. Ndiyo, naona kwa furaha ya kwamba mnaendelea, pia naona juhudi za kuingiza matini ya historia ya kanisa. Safi, nafurahi. (labda siku moja kama ingetokea mtu anataka kuchapisha kitabu tena watu waasema: imenakilishwa katika wikipedia tu!) Sidhani Malangali anataka kutukatisha moyo. Kwangu ni fikra Kimarekani sana, anataka kitu kikuuuubwa. Anataka kuajiri watu kwa kutunga matini za Kiswahili. Akifaulu - sina neno.Nitakuandikia karibuni tena maana ningependa kuja TZ tena kwa warsha jinsi tulivyofanya ila tu safari hii shue zaidi. Hapa swali a) tunaweza kuendesha warsha 1 tena kwako shuleni, b) unajua shule nyingine inapofaa kuuliza? Kipala (majadiliano) 21:43, 7 Novemba 2015 (UTC)
Ndiyo, kwa ALFA tutafurahi kurudia warsha. Kuhusu shule nyingine wasiwasi ni kuhusu kompyuta na internet. Kwa nini tusijaribu chuo kikuu kama kile cha JORDAN hapa jirani? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:45, 16 Novemba 2015 (UTC)
NAomba nieambie kwa mipango: miezi ya kwanza na ya tatu-nne ratiba ya sekondari na vyuo ni vipi? Je kuna likizo, mitihani?Kipala (majadiliano) 12:17, 16 Novemba 2015 (UTC)
Ngoja niwaulize wenyewe, kwa sababu mwaka huu wa masomo umevurugwa na uchaguzi mkuu feki. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:44, 20 Novemba 2015 (UTC)
Wanataka barua rasmi ili waingize warsha katika kalenda ya chuo. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:55, 2 Desemba 2015 (UTC)

Kwa sasa siwezi kutaja tarehe maana nahitaji kupata shule nyingine kadhaa (bado nasubiri majibu) halafu kutafuta kibali cha Foundation kwa gharama. Lakini ninachpenda kujua kwa mipango: je ratiba ya likizo ni namna gani (kwa mipango yangu) Kipala (majadiliano) 09:06, 2 Desemba 2015 (UTC)

Asante

Nashukuru kwa kunikaribisha kwenye Wikipedia Kiswahili. Nimezungumza lugha hii na naipenda sana. Nataka usaisizi wako jinsi ya kuunda kurasa mpya ya makala .Nyanchoka (majadiliano) 21:08, 7 Novemba 2015 (UTC)

Nawazaje pakia faili kwenye wikipedia Kiswahili? Hata kuiamisha kutoka kimombo?Nyanchoka (majadiliano) 22:36, 7 Novemba 2015 (UTC)
Kuhamisha kutoka Kimombo? Hapana, unaweza kuanzisha makala mapya juu ya mada hii. Nenda ukurasa wa Wikipedia:Mwongozo_(Anzisha_makala) angalia chini sehemu ya "Kuanzisha makala", halafu fuata maelezo. Unaweza kutumia dirisha linaloonekana palepale juu ya sehemu buluu penye maandishi meupe "Anzisha makala yenye jina hili". Katika dirisha hii weka jina la makala unayotaka kuanzisha. Bofya kwa puku kwenye sehemu ya buluu, mara moja unapata ukurasa mpya. Kipala (majadiliano) 22:59, 7 Novemba 2015 (UTC)

sensa ya mwaka 2012

Habari! mzee kipara nimejaribu kuingia katika link ulionitumia kuhusu sensa ya mwaka2012 lakini kwa bahati mbaya haifunguki inawezekana ulikosea kuituma. AhsanteEnock John (majadiliano) 12:20, 13 Novemba 2015 (UTC)

Kwa bahati mbaya faili hizi tunazotumia kama marejeo wakati mwingine zinafutwa au kuhamishwa anwani mpya. Jaribu hapa: https://www.dropbox.com/s/6dc7vn14apx1jv7/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf?dl=0 niambie kama unaweza kuisoma na kuinakili kwako. Kwa kunakili labda unahitaji kujiandikisha kwa dropbox. Kwa kutazama faili ni kubwa utasubiri muda.Kipala (majadiliano) 12:51, 13 Novemba 2015 (UTC)
Basi jaribu hii hapa, nimeifungua sasa hivi, uinakili na kuihifadhi http://www.kilimanjaro.go.tz/29%20March%202013%288%29%20Census%20General%20Report.pdf Kipala (majadiliano) 16:39, 13 Novemba 2015 (UTC)

Kisii, Kenya

Bwana Kipala, kulingana na majadiliano kuhusu makala ya Kisii, Kenya, nimevirekebisha vigezo vilivyokuwa na makosa. Pia nimeunda ukrasa mpya Kisii (Kenya) kulingana na mtindo wa Kiswahili na kuuelekeza kwa makala haya. Isitoshe, nimejaribu kukikuza kipengele cha virejeleo. Unaonanisaje? Mwanafunzi. 185.42.12.1 21:00, 31 Desemba 2015 (UTC)

Mpendwa kwa jumla naona umefanya vema. Kwa nini usijiandikishe ile nijue jina la kukita? Kipala (majadiliano) 06:28, 30 Machi 2016 (UTC)
Mtu aliyejeruhiwa. 185.42.12.1 17:23, 1 Aprili 2016 (UTC)

Help decide the future of Wikimania

The Wikimedia Foundation is currently running a consultation on the value and planning process of Wikimania, and is open until 18 January 2016. The goals are to (1) build a shared understanding of the value of Wikimania to help guide conference planning and evaluation, and (2) gather broad community input on what new form(s) Wikimania could take (starting in 2018).

After reviewing the consultation, we'd like to hear your feedback on on this survey.

In addition, feel free to share any personal experiences you have had at at a Wikimedia movement conference, including Wikimania. We plan to compile and share back outcomes from this consultation in February.

With thanks,

I JethroBT (WMF) (talk), from Community Resources 23:46, 12 Januari 2016 (UTC)

Towards a New Wikimania results

Last December, I invited you to share your views on the value of Wikimedia conferences and the planning process of Wikimania. We have completed analysis of these results and have prepared this report summarizing your feedback and important changes for Wikimania starting in 2018 as an experiment. Feedback and comments are welcome at the discussion page. Thank you so much for your participation. I JethroBT (WMF), Community Resources, 22:47, 8 Februari 2016 (UTC)

Kiwix

Jibu kwa ombi lako ukurasani mwa majadiliano yangu: Je, umeangalia maelezo hapa? Nadhani utakuta kila kitu humo. Bora umuulize Limoke Oscar mwenyewe. Alikuwepo shuleni walipoiweka Kiwix mtandaoni; mimi sijawahi hata kuiona ikiwekwa mtandaoni. Wasalaam. 87.106.240.76 10:00, 5 Machi 2016 (UTC)

Asante sana. Kama ningekumbuka ni nani niliyemwuliza kuhusu jambo hili ningejua pia wewe u nani! Kipala (majadiliano)
Nzuri sana! 87.106.240.76 10:10, 5 Machi 2016 (UTC)
Bado sijajua!Kipala (majadiliano) 11:13, 5 Machi 2016 (UTC)

Help

Hi Kipala. I ask your help for keeping a page of Culture, Poetry and Art with a message of Peace and cooperation. The page refers to this art literary Movement Immagine & poesia. The page has recently had a cross-wiki attack from 2 users : Orland and K9re11 who have tried to destry it on several wikis. A book about the Movement was published in NY in 2013. Different poetry reviews have published articles on the Movement. Thanks !--Oberon12 (majadiliano) 05:32, 30 Machi 2016 (UTC)

Very grateful for your help. Many Thanks !--Oberon12 (majadiliano) 17:16, 4 Aprili 2016 (UTC)

Makala ya wiki

Mzee Kipala, salaam. Halafu pole kwa ukimya wangu mkubwa. Mzee wangu, nimeona katika orodha ya makala ya wiki kuna viungo vyekundu vingi sana (Baraza la Mawaziri la Tanzania) - kama ninakumbuka sawasawa, ulisema tuhakikishe makala ya usoni isiwe na mapengo (viungo vyekundu) kwani ni rahisi sana kwa mtu kufungua kurasa anazoziona katika main page. Wazo langu, nitajitahidi kuandika hata mbegu za makala zile, lakini vilevile tuwe waangalifu hapo baadaye. Ni mtazamo tu. Wako mtoto mpendwa, --MwanaharakatiLonga 14:52, 4 Aprili 2016 (UTC)

Hoja jema! nenda tu!!! Babu yako Kipala (majadiliano) 20:19, 4 Aprili 2016 (UTC)

Yamalo-Nenets Autonomous Okrug and Jewish Autonomous Oblast

translate please CYl7EPTEMA777 (majadiliano)

Famous Ukrainian People or Maarufu Kiukreni

Hello Kipala! Sorry for writing in English. I don`t understand Swahili. I ask you to contribute with translation into the Swahili language. Could you or other users of your wikipedia translate some articles, that dedicated for prominent figures in Ukraine. The list shown on the page Wikipedia:Makala zilizoombwa. It is equipped interlanguage links and given pronunciation on Latin alphabet.--Yasnodark (majadiliano) 11:36, 10 Aprili 2016 (UTC)
Thx for proposing. At the moment I will not have capacity for that. Kipala (majadiliano) 18:56, 11 Aprili 2016 (UTC)

Ujerumani

Salaam. Kipala, samahani. Unaweza kutoa mchango wa fikra zako katika mjadala huu? Maana naona vioja tu katika makala hiyo. 46.105.8.91 09:43, 25 Aprili 2016 (UTC)

Nichangie nini? Anataka tafsiri juu ya mada ya kihistoria ya pembeni sana. Sina muda, tena sijui mewenyewe ni nani. Kipala (majadiliano) 13:18, 25 Aprili 2016 (UTC).
w:en:New East Prussia @ kiswahili. 92.222.124.232 16:44, 25 Aprili 2016 (UTC)

Vandalism

Hi. Since you are one of the active local admins here, you might want to comment on Majadiliano_ya_mtumiaji:Riccardo_Riccioni#Vandalism as well. -- Tegel (majadiliano) 11:37, 1 Mei 2016 (UTC)

Hi, thanks for pointing to that anonymous vandal. We are a peaceful village here and only rarely have malicious vandals. He is shifting his IPs, which have been blocked by now as far as I see. If you know the trick how to get him - do it! I protected Riccardos page (he could do it himself but probably never saw it...)Kipala (majadiliano) 11:55, 1 Mei 2016 (UTC)
It's a wide ranges of IP-addresses, so maybe a filter can help out. It's good in one way that the user comes back with a new IP-address. Then there is more data for the report to the users ISP and easier for the ISP to terminate the users internet connection. -- Tegel (majadiliano) 12:12, 1 Mei 2016 (UTC)

We truly apologize for the inconvenience caused.

RE:Logi

Salaam, mzee Kipala. Nimeona bana zile hesabu. Umefanya sawasawa kulingana na mtaalamu wangu wa hesabu nilivyomuomba atazame.. Enzi zile bana yule mwalimu wa hesabu alikuwa anazingua sana kama jinsi nilivyokueleza tulivyokutana jijini Dar es Salaam pale mgahawani. Nashukuru pia kwa kunikumbuka na kuja kuulizia mawili matatu. Ahsante sana. Wako,--MwanaharakatiLonga 11:34, 4 Mei 2016 (UTC)

Ni heshima yangu kuweza kuwwuliza mtalaamu wa kweli!!Kipala (majadiliano) 20:28, 4 Mei 2016 (UTC)

Pageviews Analysis

Sorry for the English. Just letting you know that I've replied to your GitHub issue. Thanks MusikAnimal (majadiliano) 21:13, 8 Mei 2016 (UTC)

Hello again. I've replied to your issue about Topviews. But what I really wanted to ask was... would you be willing to help translate Pageviews to Swahili? Even if you just do the basic stuff, it'd really help. Currently we have no translations for your language. Translating is easy, just open up the interface on translatewiki.net. You don't even need an account. Thank you! :) MusikAnimal (majadiliano) 03:52, 10 Mei 2016 (UTC)
Ok I did a number but not yet all. Kipala (majadiliano) 19:38, 10 Mei 2016 (UTC)
Thank you so much! Something is definitely better than nothing :) Mind you I've also replied about your issue with Pageviews, see [5]. I'm happy to get this figured out for you but I still can't repro :( I'm more interested in knowing what browser/OS you're using, but as for the screenshot I guess try using an external service if you're unable to upload it within the GitHub interface MusikAnimal (majadiliano) 20:17, 10 Mei 2016 (UTC)
Hello again! Wanted to let you can update the Topviews link on Mwanzo to just be ​//tools.wmflabs.org/topviews?project=sw.wikipedia.org​ (try it). The non-mainspace pages are filtered out by default :) However if you click on "Show more" you might see non-mainspace pages, though. I will have a fix for that eventually. Best MusikAnimal (majadiliano) 18:56, 5 Juni 2016 (UTC)

msaada tafadhali

Please write here question in english language why me blocked in russian wikipedia, then wikipedia talk and then wikimail (they not understood what happened and just blocked everywhere) this very easy write (likely me block and in kiswahili wikipedia). CYl7EPTEMA777 (majadiliano) 08:11, 9 Mei 2016 (UTC)

I cannot write on that page. Seems new people on ru cannot write. Sorry. Kipala (majadiliano) 09:07, 9 Mei 2016 (UTC)

msaada tafadhali

Please write here (this talk user page) question in english language why me blocked in russian wikipedia, then wikipedia talk and then wikimail (they not understood what happened and just blocked everywhere) this very easy write (likely me block and in kiswahili wikipedia). CYl7EPTEMA777 (majadiliano) 22:11, 17 Mei 2016 (UTC)

User:Alex Spade lying

[6] after blocking him wrote what this was error, but he ignored and more nothing answer and broke the rules russian wikipedia. User Alex Spade kills dogs and does not want to that articles about killing dogs deleted of russian wikipedia and because of this broke the rules russian wikipedia.
^this him send CYl7EPTEMA777 (majadiliano) 08:01, 18 Mei 2016 (UTC)
or just write him what [7] after blocking him wrote what this was error, but he ignored and more nothing answer and broke the rules russian wikipedia CYl7EPTEMA777 (majadiliano) 09:16, 18 Mei 2016 (UTC)

Re: Advice for grant application - sw.wikipedia

Hi Kipala, I'm sorry for the long delay on my response here-- I was away on vacation and unable to get back to you in a timely manner. The idea you've laid out seems pretty sensible to me. However, PEG is closing, and applications are due in a few days, as the program is ending, so there might not be enough time to prepare an application. Rapid Grants are currently available for proposals that under USD $2000, and travel for this kind of work is eligible if the content of the program can't practically be provided by someone local or be done online, so it can be done altogether rather than in separate proposals. If your budget is under $2000, I'd recommend starting an application there whenever you're able to. Rapid Grant applications are open all year, so you can apply anytime. If you think you'll need more than $2000, the Project Grants program will have its first open call for applications starting on July 1st. Thanks, and let me know if you have any further questions. I JethroBT (WMF) (majadiliano) 17:48, 26 Mei 2016 (UTC)

Help suggest some topics for medical translations

Kipala, there is a translation company interested in donating some medical translations. Can you please suggest 3-5 topics from this list. What topic are most in need? Thanks, --Lucas559 (majadiliano) 17:49, 27 Mei 2016 (UTC)

ok, set the fox to keep the geese.. I gues we have a number of these? Sorry have no time now to countercheck, just send you the following:
  • 5. Acute bronchitis
  • 9. allergy
  • 33. breastfeeding
  • 40. burn
  • 213. sickle-cell disease
  • 235. uterine fibroid
  • 185. polycystic ovary syndrome

That is 2 more, allowing for existing doubles. Cheers Kipala (majadiliano) 19:19, 27 Mei 2016 (UTC)

Utafsiri

Samahani kwa kukusumbua, lakini ningependa kuanza kutafsiri makala kutoka kwenye Wikipedia ya Kiingereza. Swali langu ni je, tunahitaji kuongeza dondoo (kwa Kiingereza ninamaanisha "citations") hata kama tunatafsiri? Asante. MediaKill13 (majadiliano) 06:50, 16 Juni 2016 (UTC)

Bila samahani kabisa, kama niko napenda kusumbuliwa. Kimsingi ni vema kuongeza dondoo. Ukitafsiri unaweza kukopi dondoo za Kiingereza (ukitumia njia ya "kuhariri chanzo" ni rahisi, kunakili tu). LAKINI ni afadhali kutafsiri sehemu za maelezo ndani ya dondoo, menginevyo inaweza kubaki vile. NA IKIWEZEKANA mimi najitahidi kutafuta marejeo ya Kiswahili kama yapo. Lakini mara nyingi ni tatizo. PIA naangalia kama maelezo yasiyo magumu yapo pia, angalia mfano wa melanini ambako makala ya Kiingereza ina dondoo za kisayansi kabisa tu, nimetumia google na swali "What is melanine?" na kwa njia hii unaweza kupata maelezo kwa wanafunzi wa shule ambazo mara nyingi kwa msomaji wa kawaida ni msaada kushinda hizo dondoo za kisayansi kabisa. Kipala (majadiliano) 11:06, 16 Juni 2016 (UTC)

Update to main page for Pageviews and Topviews

Hello Kipala! It's been a while! I wanted to let you know that I've made a major update to toollabs:topviews. It now only shows you data on a per-month or per-day basis, because that ensures accurate data. It also automatically excludes non-mainspace pages. So you can change the link on Mwanzo to https://tools.wmflabs.org/topviews/?project=sw.wikipedia.org&platform=all-access&date=last-month&excludes=xss. The "xss" was added because it apparently is a false positive.

Also the link to pageviews uses a hash # when it should use a ? mark. So all you need is https://tools.wmflabs.org/pageviews?project=sw.wikipedia.org&pages=Mwanzo. Let me know if you have any questions or need help. Thanks and hope you are doing well! MusikAnimal (majadiliano) 04:24, 12 Septemba 2016 (UTC)

Thanks!! This is really MUCH better. Great Job, asante sana Kipala (majadiliano) 10:21, 12 Septemba 2016 (UTC)

Wakongwe hewani

Salaam tele Mzee Kipala, hivi umegundua kama wiki hii wakongwe wote tulikuwa hewani? Oliver, Riccardo, ChriKo, Mimi, na wewe! Hadi raha yaani. Like old time... Tuendelee, nina kesi kubwa kuhusu makala za historia ya Tanzania katika nyanya za siasa, muziki, na maisha! Tuendelee...--MwanaharakatiLonga 12:59, 16 Oktoba 2016 (UTC)

Nimefurahia pia.Kipala (majadiliano) 17:39, 16 Oktoba 2016 (UTC)
Mzee Kipala salaam, kuhusu safari nafasi ninayo, lakini sijatafuta pasipoti! Kuhusu ukurasa wa Wikipedia ya Kiswahili katika Facebook, ukienda kule, wewe ni admin kama hapa! Tazama: hapa utajiona umo kundini! Kiasi cha kuingia FB na kuanza kuposti habari za huku!--MwanaharakatiLonga 05:08, 17 Oktoba 2016 (UTC)
Safari iko lini? Ikiwa itachelewa nitaweza kuipata!--MwanaharakatiLonga 07:55, 18 Oktoba 2016 (UTC)

Re:Kaukazi

Salaam na wewe! Ndugu we, lugha hizi bana! Combination = kombinenga! Samahani kwa usumbufu!--MwanaharakatiLonga 16:51, 27 Oktoba 2016 (UTC)

Asante lakini bado sijaelewa maana yake. Milima ya kombinenga? Ni kitu gani? Kombinenga ya nini? Kipala (majadiliano) 17:38, 27 Oktoba 2016 (UTC)

Barua ya kujiuzuru Nyerere

Ndugu Kipala, nishapakia toleo linalosomeka sasa. Tafadhali nenda kalisome! Nimejibu kule vilevile..--MwanaharakatiLonga 17:07, 4 Novemba 2016 (UTC)

Hakika nitatupia jicho kule Wikamusi..--MwanaharakatiLonga 17:08, 12 Novemba 2016 (UTC)

WikiIndaba

Salaam, Nimeona email, lakini niliona kwa simu. Ngumu kujibu! Laiti kama ningelipata taarifa hizi mapema ningelijaribu mapema kufuatilia.. Ngoja nianze mchakato labda mwakani nami nitaenda Wikimania au WikiIndaba. Pole utakuwa mpweke huko Ghana!--MwanaharakatiLonga 08:32, 16 Novemba 2016 (UTC)

Share your experience and feedback as a Wikimedian in this global survey

Your inbox is full

Dear Kipala,

Attempts to e-mail you are being bounced, with the following message:

Recipient inbox full
Your message couldn't be delivered to <your e-mail>. Their inbox is full, or it's getting too much mail right now.

I've tried forwarding the delegate guide to you and that's what I got. When you clear up some space, let me know (by e-mail) and I'll forward again. Ijon (majadiliano) 20:43, 17 Januari 2017 (UTC)

I fixed it. Todah!! Kipala (majadiliano) 22:20, 17 Januari 2017 (UTC)