Majadiliano:Ujerumani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kigezo:Archivetop Kigezo:Discussion Text Kigezo:Archive bottom


Kiingereza[hariri chanzo]

Kwa nini majina ya majimbo ni kwa Kiingereza? Wawe kwa Kijerumani na kwa Kiswahili tu, au siyo? Marcos 17:10, 11 Aprili 2007 (UTC)

Nimejaribu kuitikia mapendekezo yako. Ila nimesikia watu wakitumia umbo la Kiingereza - au la Kijerumani tu. Angalia - je inafaa? --Kipala 18:14, 11 Aprili 2007 (UTC)
Niliona nirahisishe tena. --Kipala 18:18, 11 Aprili 2007 (UTC)
Ahsante sana. Nimebadilisha Pomerinia iwe Pomerini kwa sababu nchini Tanzania (mkoani Iringa) kuna kijiji kinachoitwa Pomerini, na jina lake linatoka Pommern (kwa sababu ya wakoloni wa Kijerumai). Kwa hiyo inafaa kutumia Pomerini kama jina la Kiswahili kwa Pommern, au siyo? Marcos 12:26, 13 Aprili 2007 (UTC)
w:en:New East Prussia katika ya Kiswahili? 46.105.8.91 09:42, 25 Aprili 2016 (UTC)