Mkoa wa Kivu Kaskazini
Mandhari
Mkoa wa Kivu Kaskazini Nord-Kivu |
|
Mahali pa Mkoa wa Kivu Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
Majiranukta: 01°41′S 29°14′E / 1.683°S 29.233°E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 5 |
Mji mkuu | Goma |
Serikali | |
- Gouverneur | Julien Paluku Kahongya |
Eneo | |
- Jumla | 59,483 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 3,564,434 |
Tovuti: http://www.provincenordkivu.org/ |
Mkoa wa Kivu ya Kaskazini ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 3,564,434. Mji mkuu ni Goma.
Picha za Kivu Kaskazini
[hariri | hariri chanzo]-
Mtiririko wa zaha karibu na Goma
-
Masisi
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kivu Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Équateur | Ituri | Kasaï | Kasaï Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu | |
+/- |