Mchadi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchadi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:
(bila tabaka):
Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka):
Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka):
Core eudicots (Mimea kama alizeti)
Oda:
Caryophyllales (Mimea kama fungu)
Familia:
Amaranthaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mchicha)
Nusufamilia:
Jenasi:
Spishi:
Nususpishi:
B. vulgaris subsp. cicla


  • Beta vulgaris var. cicla L.

Mchadi (kwa Kiing. chard) ni mboga wa majani. Ni katika familia moja na mchicha, Amaranthaceae. Ni nususpishi ndani ya spishi Beta vulgaris iliyo pamoja na kiazisukari.

Majani yake huwa na rangi ya kijani au nyekundu. [3]

Majani hupikwa na kuliwa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1.  This plant, treated as a subspecies of Beta vulgaris, was first published in Synopsis der Deutschen und Schweizer Flora 2: 720. 1846. Its basionym is B. vulgaris var. cicla L. "Name - Beta vulgaris subsp. cicla (L.) W.D.J.Koch". Tropicos. Saint Louis, Missouri: Missouri Botanical Garden. Retrieved August 26, 2011. Basionym: Beta vulgaris var. cicla L.
  2.  The basionym of B. vulgaris subsp. cicla (B. vulgaris var. cicla L.) was originally described and published in Species Plantarum 1: 222. 1753. "Name - Beta vulgaris var. cicla L." Tropicos. Saint Louis, Missouri: Missouri Botanical Garden. Retrieved August 26, 2011.
  3. Swiss Chard varieties Cornell Garden Based Learning. Ithaca, NY: Cornell University. 2016.
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mchadi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.