Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ya Kenya
Mandhari
| Aina | Kiserikali |
|---|---|
| Sekta | Usafiri |
| Bidhaa | Huduma na Shughuli katika Uwanja wa Ndege |
| Tovuti | http://www.kenyaairports.co.ke |
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ya Kenya (kwa Kiingereza: Kenya Airports Authority: kifupi: KAA) ni taasisi inayomiliki viwanja tisa vya ndege nchini Kenya. Inahusika pia kutoa vibali kwa viwanja vya ndege vya binafsi.
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ya Kenya ilianzishwa kwa sheria ya bunge katika mwaka wa 1992. Sheria hiyo ya KAA Act, kifungu cha 395, hueleza nguvu na utendaji wa mamlaka.
Mali ya KAA
[hariri | hariri chanzo]Viwanja vikubwa
[hariri | hariri chanzo]Viwanja vidogo
[hariri | hariri chanzo]Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Kenya Airports Authority Ilihifadhiwa 19 Septemba 2019 kwenye Wayback Machine.
| Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ya Kenya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |