Makumbusho ya Rabai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makumbusho ya Rabai ni makumbusho yanayopatikana katika kaunti ya Kilifi, nchini Kenya.[1]

Makumbusho hayo hupatikana katika kanisa la kwanza kujengwa na Waprotestanti nchini Kenya mnamo mwaka 1846, huku kwa asilimia kubwa makumbusho yakionyesha kazi za Ludwig Krapf, ambaye ndiye aliyejenga kanisa hilo pamoja na Johannes Rebmann.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Rabai Museum - Historical Background and Geographical Location. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-04-19. Iliwekwa mnamo 2020-05-03.
Flag of Kenya.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Rabai kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.