Makumbusho ya Kabarnet

Majiranukta: 0°29′30″N 35°44′33″E / 0.491632°N 35.742431°E / 0.491632; 35.742431
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makumbusho ya Kabarnet huko Kenya katika ramani hii inapatikana katika majiranukta 0°29′30″N 35°44′33″E / 0.491632°N 35.742431°E / 0.491632; 35.742431

Makumbusho ya Kabarnet ni makumbusho yanayopatikana Kabarnet, kaunti ya Baringo, nchini Kenya.[1] Yanahusu makabila ya Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Kabarnet - Historical Background". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-18. Iliwekwa mnamo 2013-04-09.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Kabarnet kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.