Jumba la Mtwana
Mandhari
Jumba la Mtwana ni eneo la nchini Kenya lililoko katika pwani ya bahari ya Hindi huko Mtwapa Creek, Malindi katika kaunti ya Kilifi, kaskazini kwa Mombasa.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kusini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.
Eneo hilo la kihistoria lina kumbukumbu za akiolojia kuanzia katika karne ya 14[1] huku vipengele vyake vikijumuisha na msikiti.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Orodha ya miji ya kale ya Waswahili
- Bomas of Kenya
- Gedi
- Makumbusho ya Garissa
- Makumbusho ya Kabarnet
- Makumbusho ya Kapenguria
- Makumbusho ya Kitale
- Makumbusho ya Narok
- Makumbusho ya reli Nairobi
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Jumba la Mtwana, the ancient Swahili stone town". Daily Nation.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- media kuhusu Jumba la Mtwana pa Wikimedia Commons
3°57′00″S 39°46′00″E / 3.95°S 39.7667°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jumba la Mtwana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |