Makumbusho ya Kapenguria
Makumbusho ya Kapenguria ni makumbusho yanayopatikana Kapenguria, kaunti ya Pokot Magharibi, Kenya.[1].
Makumbusho hayo hupatikana katika gereza lililotumika kuwafunga wapigania uhuru wa Kenya kati ya mwaka 1952 na 1953 wakiwemo Jomo Kenyatta, Kungu Karumba, Fred Kubai, Paul Ngei, Bildad Kaggia na Ramogi Achieng Oneko. Vyumba walivyofungiwa mashujaa hao sita, vinatumika kama sehemu ya makumbusho hayo.
Makumbusho hayo yalifunguliwa rasmi mwaka 1993.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Bomas of Kenya
- Gedi
- Jumba la Mtwana
- Makumbusho ya Garissa
- Makumbusho ya Kabarnet
- Makumbusho ya Kitale
- Makumbusho ya Narok
- Makumbusho ya reli Nairobi
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Kapenguria - Location and Historical Background. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-12-18. Iliwekwa mnamo 2020-05-02.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Kapenguria kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |