Makumbusho ya Narok

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makumbusho ya Narok ni makumbusho yanayopatikana Narok, kaunti ya Narok, nchini Kenya.[1]

Hayo ni makumbusho ya utamaduni wa jamii za Wamaasai na wengine wanaozungumza lugha ya Maa, wakiwemo Wasamburu na Wandorobo.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Narok - Historical Background. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-12-18. Iliwekwa mnamo 2020-05-02.
Flag of Kenya.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Narok kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.