Makumbusho ya Meru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makumbusho ya Meru (kwa Kiingereza: Meru Museum) ni makumbusho yanayopatikana eneo la Meru nchini Kenya.[1]

Makumbusho hayo yanaonyesha na kuelezea utamaduni wa jamii ya Wameru.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Meru - Historical Background. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-12-07. Iliwekwa mnamo 2020-05-03.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Meru kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.