Majadiliano ya mtumiaji:Yacie3010

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Idd ninga (majadiliano) 08:18, 18 Machi 2023 (UTC)[jibu]

Ndugu, angalia nilivyorekebisha makala zako za mwisho ili ufanye vizuri na utupunguzie sisi kazi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:29, 31 Julai 2023 (UTC)[jibu]

habari ndugu tunafurahi kwa mchango wako lakini bado hufati maelekezo unayopewa. Angalia ulivyorekebishwa ili usirudie makosa yaleyale . Pitia makala zako za mwanzo na uangalie ulivyorekebishwa bonyeza ukurasa wako wa michango na ufuatilie marekebisho yaliyofanywa kwenye ukurasa wako. amani kwako Hussein m mmbaga (majadiliano) 05:54, 3 Agosti 2023 (UTC)[jibu]

Ndugu, unaendelea kutunga makala kwa makosa yaleyale. Imenibidi kukuzuia kwa siku 3 kwanza ili upate muda wa kuangalia tulivyorekebisha kurasa zako. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:36, 5 Agosti 2023 (UTC)[jibu]
Fuata Maelekezo unayopewa,itasaidia kuanzisha makala zenye ubora zaidi,Amani Sana Idd ninga (majadiliano) 17:19, 9 Agosti 2023 (UTC)[jibu]

Kuanzisha makala kimakosa[hariri chanzo]

Habari ndugu , sifurahishwi na unavyoelekezwa na haufati maelekezo ili kufanya vizuri zaidi na kupunguzia wenzako kazi. Makala zako zifuatazo zinamakosa tafadhali rekebisha kwanza ndio uanzishe makala nyingine usipofanya hivyo itanibidi kukuzuia


#Orodha ya maonyesho ya Dianna Agron ‎

#Filamu za Kajal Aggarwal

#Filamu za Pamela Adlon

#Orodha ya maonyesho ya Amy Adams
amani kwako! Hussein m mmbaga (majadiliano) 22:32, 7 Machi 2024 (UTC)[jibu]

Samahani kwa makosa nnayoyafanya bila kujua,ningependa kujua nakosea wapi, nielekezwe nijifunze ili niweze kuanzisha makala nyingine kwa usahihi na kuwapunguzia wenzangu kazi. Amani kwako! Yacie3010 (majadiliano) 10:09, 8 Machi 2024 (UTC)[jibu]
soma muongozo hapa Wikipedia:Mwongozo
Mfano wa makala
  1. jack ma
Hussein m mmbaga (majadiliano) 15:48, 9 Machi 2024 (UTC)[jibu]
Habari, Samahani naomba kufunguliwa ukurasa wangu wa kuhariri ili niweze kufanya marekebisho na kuhariri makala mpya kama nilivyoelekezwa. Amani kwako! Yacie3010 (majadiliano) 14:25, 18 Machi 2024 (UTC)[jibu]
habari , nimekuruhusu kurekebisha yale uliyo kosea tafadhali fanya kama ulivyo ahidi amani kwako Hussein m mmbaga (majadiliano) 18:04, 19 Machi 2024 (UTC)[jibu]