Nenda kwa yaliyomo

Pamela Adlon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Filamu za Pamela Adlon)
Pamela Adlon

Pamela Adlon ni mwigizaji filamu katika vipindi vya televisheni na michezo ya video.

Anajulikana kwa maonyesho yake katika Lucky Louie(2006), Louie (2010-2015), na Better Things (2016-2022).

Pia ameshiriki katika maonyesho kama The Facts of Life (1983–1984), Californication (2007–2014), na amejitokeza kama mgeni katika The Jeffersons (1984), Boston Legal (2007–2008), Parenthood (2012), na This Is Us (2020).

Pia ni msanii maarufu wa sauti. Vichekesho vya sauti alivyovifanya ni pamoja na Bobby's World (1992–1998), Rugrats (1992–2004), Recess (1997–2001), King of the Hill (1997–2010), Phineas and Ferb (2010–2013), Bob's Burgers (2012–2020), na Milo Murphy's Law (2016–2019).

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pamela Adlon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.