Majadiliano ya mtumiaji:Rwebogora

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Tangazo[hariri chanzo]

Habari ndugu Mwanawikipedia!

Mimi ni mwezeshaji wa mradi uitwao Mwongozo Wa Kimataifa Wa Mwenendo Na Maadili. Ni mradi mchanga/mpya ambao Shirika la Wikimedia Foundation linanuia kuuanzisha endapo wadau wataona ni mradi unaofaa. Nakukaribisha usome mwongozo huo na kisha utoe maoni yako kwa kujibu maswali yote au baadhi yake kwa yale utakayopenda kuyatolea maoni HAPA

Taarifa zaidi kuhusu Mwongozo wa Kimataifa wa Nidhamu na Mwenendo

Shirika la Wikimedia Foundation lina mpango wa kuanzisha Mwongozo Wa Kimataifa Wa Mwenendo Na Maadili. Lengo la mwongozo huo ni kujaribu kuainisha vitu vya msingi vinavyopatikana katika miongozo midogo midogo iliyopo tayari katika kila jamii husika (mfano Jumuiya yetu hii ya wahariri wa Wikipedia ya Kiswahili). Lengo hasa la mwongozo huu ni kutengeneza mazingira ambayo wanawikipedia wote duniani watakuwa na uelewa wa pamoja juu ya vitu vya msingi kuhusu nini kinakubalika na kipi hakikubaliki wakati wa uchangiaji (uhariri) wa Wikipedia na pale wanawikipedia wanapowasiliana kwenye Wikipedia au ana kwa ana katika warsha na mikutano ya Wanawikipedia. Wazo hilo limekuja baada kukithiri kwa baadhi ya Wanawikimedia kukumbana kufanyiwa unyanyasaji wa kitabia (mfano matusi, kuitana majina yasiyofaa, kutishiana n.k) na Wanawikimedia wenzao, hivyo kuwakatisha tamaa ya kuendelea kuchangia katika miradi ya Wikimedia.Hivyo, wewe kama mdau muhimu katika miradi ya Wikimedia Foundation, unakaribishwa ku soma zaidi kuhusu mwongozo huo Hapana baada ya kuusoma mwongozo huo unaweza ku toa maoni yako Hapa kabla ya tar 15 April 2020.

Mwaliko wa kujiunga na kundi la Wahariri wa Wikipedia

Nakukaribisha ujiunge na kundi la Wahariri wa Wikipedia kutoka Dar es Salaam ili tuweze kujadiliana na kubadilishana uzoefu na mambo kadha wa kadha kuhusu Uhariri wa Wikipedia. Iwapo utapenda kujiunga, usisite kuwasiliana nasi kupitia wikitzagroup@gmail.com, na kwa taarifa zaidi kuhusu kundi la Wahariri wa Wikipedia wa hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla na miradi waliyoitekeleza tayari, unaweza tembelea hapa ukurasa wao wa meta uitwao Wikimedia Community User Group Tanzania au pia katika Facebook kwa jila la Wikimedia Tanzania.

Ndimi AMtavangu (WMF) (majadiliano) 19:46, 5 Aprili 2020 (UTC)[jibu]

Mwaliko wa kutoa maoni yako kuhusu Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Nidhamu[hariri chanzo]

Habari ndugu Mwanawikipedia!

Mimi ni mwezeshaji wa mradi uitwao Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili. Ni mradi mchanga/mpya ambao Shirika la Wikimedia Foundation linanuia kuuanzisha endapo wadau wataona ni mradi unaofaa na kuunga mkono wazo hilo. Nakukaribisha usome mwongozo huo na kisha utoe maoni yako kwa kujibu maswali yote au baadhi yake kwa yale utakayopenda kuyatolea maoni HAPA

Taarifa zaidi kuhusu Mwongozo wa Kimataifa wa Nidhamu na Mwenendo

Shirika la Wikimedia Foundation lina mpango wa kuanzisha Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili. Lengo la mwongozo huo ni kujaribu kuoanisha vitu vya msingi vya kimwongozo vinavyopatikana katika miongozo midogo midogo iliyopo tayari katika kila jamii husika (mfano katika Jumuiya yetu hii ya wahariri wa Wikipedia ya Kiswahili). Lengo hasa la mwongozo huu ni kujaribu kutengeneza mazingira ambayo wanawikipedia wote duniani watakuwa na uelewa wa pamoja juu ya vitu vya msingi kuhusu nini kinakubalika na kipi hakikubaliki wakati wa uchangiaji (uhariri) au utumiaji wa Wikipedia, na pia pale wanawikipedia wanapowasiliana ndani ya tovuti ya Wikipedia yenyewe au wanapokutana ana kwa ana katika warsha na mikutano mbalimbali ya Wanawikipedia. Wazo hilo limekuja baada kutokea kwa baadhi ya matukio kwa baadhi ya Wanawikimedia anbapo katika tafiti iliyofanywa mwaka 2015 , ilionekana baadhi ya Wanawikimedia walikuwa wakikumbana na unyanyasaji wa kitabia (mfano matusi, kuitana majina yasiyofaa, kutishiana n.k) na Wanawikimedia wenzao, hivyo kuwakatisha tamaa ya kuendelea kuchangia katika miradi ya Wikimedia.Wewe kama mdau muhimu katika miradi ya Wikimedia Foundation, unakaribishwa ku soma zaidi kuhusu mwongozo huona unaweza ku toa maoni yako Hapa kabla ya tar 29th April 2020.

Mwaliko wa kujiunga na kundi la Wahariri wa Wikipedia

Nakukaribisha ujiunge na kundi la Wahariri wa Wikipedia kutoka Tanzania (Dar es Salaam) ili tuweze kujadiliana na kubadilishana mawazo, uzoefu na mambo kadha wa kadha kuhusu Uhariri wa Wikipedia na miradi mingine yake ya Wikimedia Foundation. Iwapo utapenda kujiunga, usisite kuwasiliana nasi kupitia wikitzagroup@gmail.com, na kwa taarifa zaidi kuhusu kundi la Wahariri wa Wikipedia wa hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla kuhusu miradi waliyoifanya tayari, unaweza tembelea hapa ukurasa wao wa meta uitwao Wikimedia Community User Group Tanzania au pia katika Facebook kwa jila la Wikimedia Tanzania.

Ndimi Mtavangu19:09, 18 Aprili 2020 (UTC)[jibu]

Makala ya Muungano, herufi kubwa[hariri chanzo]

Asante kwa mchango wako. Tafadhali usitumia tene HERUFI KUBWA, hazipendezi na hazitakiwi katika fomati yetu (isipokuwa vifupisho kama TUKI, NATO, UM). Asante. Kipala (majadiliano) 07:36, 30 Mei 2020 (UTC)[jibu]

Masahihisho ya ukurasa wa mtumiaji[hariri chanzo]

Tafadhali weka vyanzo kwenye kipengere cha tuzo kwenye makala yako.

Jamii na interwiki[hariri chanzo]

Asante kwa michango, lakini umesahau interwiki (Msaada:Interwiki) na jamii ulizotumia hazisaidii. Ukiandika chini ya makala Jamii:Wanawake wa Aisilandi (katika mabano mraba yaani [[Jamii:Wanawake wa Aisilandi]]) afadhali; vizuri zaidi ingekuwa [[Jamii:Wanamuziki wanawake wa Aisilandi]]. Baada ya kuhifadhi makala ungeona jamii hizo kwa rangi nyekundu maana hazikuunganishwa bado katika mfumo wa jamii. Hapa uatendelea katika hatua ya pili ambayo ni kuunganisha na jamii mbili za juu: fungua jamii uliyounda, mfano Jamii:Wanawake wa Aisilandi na ndani yake unaandika [[Jamii:Watu wa Iceland]] (maana inaonekana tumetumia tahajia zote mbili) halafu pia [[Jamii:Wanawake wa Ulaya]].

Kama umetumia [[Jamii:Wanamuziki wanawake wa Aisilandi]] utahitaji kuunganisha na:

  • [[Jamii:Wanamuziki wa Aisilandi]], inayohitaji kuunganishwa tena na [[Jamii:Watu wa Iceland]] na pia
  • [[Jamii:Wanamuziki nchi kwa nchi]]

Baada ya hatua hizo umekamilisha makala. Kipala (majadiliano) 12:01, 29 Machi 2021 (UTC)[jibu]

Naona bado hatujaelewana. Ni vizuri kwamba umempanga Jamii:Wanamuziki wanawake wa Aisilandi. Hii ya "Watu wa Iceland" inawezekana, ingawa kwa nchi yenye makala mengi ya watu haisaidii sana maana utapata mwishono orodha ndefu sana ya majina; ingetosha kuweka Jamii:Watu wa Iceland ndani ya Jamii:Wanamuziki wanawake wa Aisilandi. Ingawa ningependelea upange Jamii:Wanamuziki wanawake wa Aisilandi katika jamii mpya "Wanamuziki ya Aisilandi" na hiyo ndani ya zote mbili "Watu wa Iceland" na pia "Wanamuziki nchi kwa nchi". Kama hujaelewa, tafadhali uniulize.
Pia naona hujaunganisha bado na interwiki. Nimekupa pale juu ukurasa wa msaada:Interwiki, tafadhali ufuate hatua zinazotajwa. Kipala (majadiliano) 12:51, 29 Machi 2021 (UTC)[jibu]
Ndugu, naona unajitahidi kuandika vizuri. Ila suala la jamii linakusumbua bado. Ukianzisha jamii ya wanamuziki wanawake, hiyo ni ndani ya jamii za wanamuziki na za wanawake, si kinyume! Yaani wewe unaweka jamii ya wanamuziki (wa jinsia zote) ndani ya ile ya wanamuziki wanawake... Kwa mfano, Wagogo ni Watanzania, lakini si Watanzania wote ni Wagogo! Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:43, 31 Machi 2021 (UTC)[jibu]

Hongera[hariri chanzo]

Napenda kukupongeza kwa juhudi zako katika Wikipedia. Endelea kuangalia kama pengine ninarekebisha michango yako ili uzidi kukomaa. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:29, 16 Aprili 2021 (UTC)[jibu]

Asante, nakupongeza pia kwa ujuzi ulionao. Nafuatilia marekebisho yako na ubarikiwe kwa kazi unayoifanya. Amani iwe kwako pia! -- Rwebogora (majadiliano) 14:50, 16 Aprili 2021 (UTC)[jibu]

Miji ya Uganda[hariri chanzo]

Nazidi kukupongeza. Tafadhali, chini ya makala za aina hii, bandika kama ifuatavyo: ==Marejeo== {{reflist}} {{mbegu-jio-Uganda}} [[Jamii:Miji ya Uganda]] [[Jamii:Wilaya ya Amuru]] [[Jamii:Africa Wiki Challenge 2021 in Tanzania]] Asante sana kwa ushirikiano. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:50, 23 Julai 2021 (UTC)[jibu]

Bila shaka, baadaye badilisha jina la wilaya! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:51, 23 Julai 2021 (UTC)[jibu]

Karibu tena[hariri chanzo]

Tuliku"miss" sana. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:54, 24 Novemba 2021 (UTC)[jibu]

Asante sana! Rwebogora (majadiliano) 20:49, 24 Novemba 2021 (UTC)[jibu]

Wikimedians for Sustainable Development - January 2023 Newsletter[hariri chanzo]

This is our twentythird newsletter, covering January 2023. This issue has news related to SDGs 3, 5, 10, 11, 13, 14 and 16.

Meetings

Activities

News

Resources

Videos

Featured content

New Wikidata properties

This message was sent with Global message delivery by Ainali (talk) 16:25, 1 Februari 2023 (UTC)ContributeManage subscription[jibu]

Wikimedians for Sustainable Development - February 2023 Newsletter[hariri chanzo]

This is our twentyfourth newsletter, covering February 2023. This issue has news related to SDGs 2, 3, 7, 10, 11, 13, 14, 15 and 16.

Meetings

Activities

News

Resources

Research

New Wikidata properties

Wikidata query examples

Featured articles

This message was sent with Global message delivery by Ainali (talk) 18:57, 1 Machi 2023 (UTC)ContributeManage subscription[jibu]

Wikimedians for Sustainable Development - March 2023 Newsletter[hariri chanzo]

This is our twentyfifth newsletter, covering March 2023. This issue has news related to SDGs 3, 5, 10, 13, 15 and 16.

Meetings

Activities

News

New Wikidata properties

Featured content

This message was sent with Global message delivery by Ainali (talk) 07:42, 1 Aprili 2023 (UTC)ContributeManage subscription[jibu]

Wikimedians for Sustainable Development - April 2023 Newsletter[hariri chanzo]

This is our twenty-sixth newsletter, covering April 2023. This issue has news related to SDGs 2, 4, 5, 6, 11, 13, 14, 15 and 16.

Meetings

Activities

News

Research

New Wikidata properties

Featured content

This message was sent with Global message delivery by Ainali (talk) 19:31, 2 Mei 2023 (UTC)ContributeManage subscription[jibu]

Wikimedians for Sustainable Development - December 2023 Newsletter[hariri chanzo]

This is our twenty-seventh newsletter, a sort of year-in-review for 2023.

Dear Wikimedians for Sustainable Development,

As we bid farewell to 2023, we reflect on a year that has been an uneven year for our user group. While the journey has been marked by some truly inspiring events, most of our efforts have been largely uncoordinated and the user group hasn't been the support it could have been. Yet, there's a glimmer of hope and a world of potential for 2024.

Highlights of 2023:

Newsletters Galore
We kicked off the year with zeal, sharing updates and inspiration through four newsletters. The number of things happening in the movement is astounding, but we need to rethink the format of the newsletter going into the next year.
Growing Strong
The Wikimedians for Sustainable Development family welcomed 33 new members in 2023. Your passion and dedication continue to inspire us, and we look forward to nurturing this community spirit in the year ahead.
Wikimania Talks
Our voices echoed far and wide at Wikimania, where several members of our community took the virtual stage to share insights and ideas about everything from Wikipedians-in-Residence's to open data. Your contributions showcased our commitment to sustainable development on a global scale.
Content Creation Magic
Throughout the year, our extended community demonstrated incredible dedication to expanding the knowledge base on Wikipedia. Countless hours were spent creating and curating content that aligns with our mission, contributing to a more sustainable digital ecosystem.
Campaigning hard
We saw a large variety of campaigns, from writing challenges to editathons. The willingness to experiment with new formats and partners, as well as learning from past efforts, shows great promise for the future.

Acknowledging Challenges:

While we celebrate these achievements, we acknowledge that 2023 presented its fair share of challenges. A lack of global coordination reminded us that the road to sustainable development is not always linear. However, it is precisely these challenges that fuel our determination to work together more cohesively in the coming year and proof that the user group is needed.

Hopeful Anticipation for 2024:

As we turn the page to 2024, let's carry forward the lessons learned and the successes celebrated. We are optimistic that, with renewed energy and a collective commitment, we will overcome obstacles and create an even more impactful and connected Wikimedians for Sustainable Development community.

Here's to a year of collaboration, growth, and making a lasting impact on the world through our shared passion for sustainability. Together, we can turn challenges into opportunities and pave the way for a brighter future.

Wishing you all a joyous holiday season and a Happy New Year!

Warm regards, User:Ainali, User:Daniel Mietchen

PS. We have started writing our yearly report, please add your activities to it.

This message was sent with Global message delivery by Ainali (talk) 17:55, 1 Januari 2024 (UTC)ContributeManage subscription[jibu]

Wikimedians for Sustainable Development - January 2024 Newsletter[hariri chanzo]

This is our twenty-eighth newsletter.
User group news
  • We have submitted our 2023 annual report.
  • Upcoming meeting: on 9 February, we'll have a call about roles and responsibilities in the user group. This is an attempt to make more opportunities to engage more of the user groups members in its activities. If you want to help out in some way, but don't know how, this is a meeting for you to get help creating that opportunity. If you know how you would like to help, but don't know how to get started, this is also the meeting for you.
Other news
  • New Wikiproject for Climate Change on Basque Wikipedia: Wikiproiektu Klima Aldaketa
  • Climate Justice, Digital Rights and Indigenous Voices international Wikimedia event in Huaraz, Peru 2024: Engagement Survey (closes 2 Feb)

This message was sent with Global message delivery by Ainali (talk) 20:22, 2 Februari 2024 (UTC)ContributeManage subscription[jibu]

Wikimedians for Sustainable Development - February 2024 Newsletter[hariri chanzo]

This is our twenty-ninth newsletter.
User group news
Other news

This message was sent with Global message delivery by Ainali (talk) 10:40, 9 Machi 2024 (UTC)ContributeManage subscription[jibu]

Can help me to make a Wikipedia?[hariri chanzo]

Can help me to make the Malaysian actor P. Ramlee Wikipedia?


P. Ramlee was a key figure in the Malay entertainment industry, wearing multiple hats as an actor, director, composer and singer. Ramlee acted in 66 films, directed 35, composed 250 songs and sang almost 30. Closely linked to the golden era of Malay movies in the 1950s and early ’60s, P. Ramlee was an icon in the Malay entertainment scene in Singapore, Malaysia and Indonesia during the height of his fame.


Can see his English wikipedia

https://en.wikipedia.org/wiki/P._Ramlee

Or his Malay Wikipedia

https://ms.wikipedia.org/wiki/P._Ramlee


P. Ramlee is a legend in Malaysia, I hope you can help me to make his Wikipedia! Thank you very much👍👍 2402:1980:8481:5217:10F5:AEFF:D4:CC74 07:15, 11 Machi 2024 (UTC)[jibu]

Sorry, P. Ramlee already has Wikipedia, but can you help me add content, the existing content is too short. Thank you 2402:1980:8481:5217:10F5:AEFF:D4:CC74 07:16, 11 Machi 2024 (UTC)[jibu]
https://sw.wikipedia.org/wiki/P._Ramlee 2402:1980:8481:5217:10F5:AEFF:D4:CC74 07:17, 11 Machi 2024 (UTC)[jibu]
https://sw.wikipedia.org/wiki/P._Ramlee 2402:1980:8481:5217:10F5:AEFF:D4:CC74 07:17, 11 Machi 2024 (UTC)[jibu]