Mtumiaji:Rwebogora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Rwebogora (Alex Method)

Rwebogora (Alex Method) ni Mtanzania, anayeishi Mbezi beach (Dar es salaam) kwa sasa. Ni mzaliwa wa mkoa wa Kagera (Bukoba vijijini). Ni mwanachama na anajitolea katika shirika la Vijana linalojulikana kama Tanzania Youth Vision Association (TYVA) na mchangiaji wa Wikipedia ya Kiswahili, Kiingereza na Commons kutoka kundi la Wikimedia Tanzania Community User Group.