Majadiliano ya mtumiaji:Mohamed mfuu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje
  • wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, MediaWiki Content Translation, etc.)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Idd ninga (majadiliano) 11:17, 3 Julai 2021 (UTC)[reply]

Ndugu, usiondoe mabano ya mraba katika makala. Wenzako tumeyaweka kwa makusudi. Viungo vyekundu ni kichocheo cha kuandika makala mpya. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:33, 4 Julai 2021 (UTC)[reply]

Umeacha kasorotafadhali upitilie makala zako zote angalia marejeo[hariri chanzo]

Habari asante kwa michango yako lakini kuna kasoro nzito hasa upande wa marejeo (footnotes / references)

  1. Zayn_Africa - hakuna marejeo yanayokubaliwa. Marejeo ya Wikipedia haikubaliwi. Sasa ni makala bila chanzo ambayo ni sababu ya kuifuta. Unaweza kuchagua katika Wikipedia ya Kiingereza na kuchukua marejeo yenyewe huko. Angalia hapa Wikipedia:Mwongozo_(Kutaja_vyanzo), sehemu kuhusu Marejeo tata!
  2. Makala mengine hujaweka chazo chochote. Hii ni pia sababu ya kufuta makala yako. (mfano Tyga, Sauti Sol)
  3. Naomba uthibitishe umesoma na kuelewa ninachoandika. Halafu nenda usahihishe, usiendelee kutunga makala mapya kabla ya kusahihisha! Kipala (majadiliano) 17:13, 4 Julai 2021 (UTC)[reply]
Basi naona kasoro hazikuwa zako, uliongeza picha. asante. Ila ukiona makala yasiyo na marejeo au lugha isiyoeleweka, tafadhali uongeze juu ya makala alama za {{vyanzo}} au {{lugha}}. Au ingiza marejeo (tazama juu)Kipala (majadiliano) 21:06, 4 Julai 2021 (UTC)[reply]
Ndugu, uwe makini zaidi: Kathy Keeton amegeukaje kuwa Kachi ketone? Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:01, 30 Oktoba 2021 (UTC)[reply]
sawa Mohamed mfuu (majadiliano) 15:29, 19 Machi 2022 (UTC)[reply]