Sauti Sol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Sauti Sol ni kikundi cha muziki wa Afro-pop nchini Kenya kilichoundwa Nairobi na Bien-Aimé Baraza, Willis Chimano na Savara Mudigi mwaka 2005.

Mwanzo ilikuwa kundi la akapela, Polycarp Otieno walijiunga kabla ya kujiita Sauti. Sauti Sol ilitoa albamu yao ya kwanza kwa jina Mwanzo tarehe 1 Novemba 2008, iliyopokewa kwa sifa kubwa.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sauti Sol kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.