Zayn Africa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zayn Africa

Abdulmajid Aliyu Zubair (anajulikana kama Zayn Africa; amezaliwa 1 Juni 1994) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa rekodi wa Nigeria. [1]

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Zayn Africa alizaliwa katika Jimbo la Kaduna, Nigeria ambapo alipata JSCE na SSCE kutoka Shule ya Sekondari ya Command Jimbo la Kaduna, kisha kwenda kupata elimu yake ya digrii katika Uhandisi wa Kompyuta na kuhitimu katika Chuo Kikuu cha Bayero Kano, Nigeria. Mnamo mwaka wa 2017, alitoa albamu ya studio inayoitwa "The Relationship" na nyimbo 11 ambazo zilimpatia kutambuliwa kisanii nchini Nigeria. [2] [3] [4] [5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Zayn Africa", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-05-21, iliwekwa mnamo 2021-06-21 
  2. "Zayn Africa", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-05-21, iliwekwa mnamo 2021-06-21 
  3. "Zayn Africa", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-05-21, iliwekwa mnamo 2021-06-21 
  4. "Zayn Africa", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-05-21, iliwekwa mnamo 2021-06-21 
  5. "Zayn Africa", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-05-21, iliwekwa mnamo 2021-06-21