Majadiliano ya mtumiaji:Cekli829
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
- Kuhusu ukurasa wako wa mtumiaji na kurasa nyingine
- Ukurasa wa mwongozo
- Jamii:Msaada (makala zilizomo humo zinaweza kusaidia mara nyingi)
- Ukurasa wa jumuia (pamoja na Wikipedia:Wakabidhi, penye majina walio tayari kukusaidia)
- Makala za msingi za Wikipedia
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
- usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje
- usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
- usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
- do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
- nor copied texts/images from other webs to this site!
- do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
--Mr Accountable (majadiliano) 10:12, 5 Aprili 2010 (UTC)
Naomba ushirikiano wako!
[hariri chanzo]Mpendwa, nakuomba uangalie baada ya siku 2,3 kurasa hizi mbili:
1. Wikipedia:Wakabidhi#Kusafisha_orodha_ya_Wakabidhi_mwaka_2014
2. Wikipedia:Ukurasa_wa_jumuia#Wiki_Indaba_2014
Kuhusu 1) napendekeza kuwachagua wakabidhi wapya na kuondoa wale waliomo katika orodha ya wakabidhi lakini hawakuwepo tangu miaka 2.
Kuhusu 2): nahitaji msaada na mawazo yenu. Nitashiriki kwenye mkutano wa Wikimedia mwezi wa Juni. Inaonekana mimi ndipo mchnagiaji wa pekee kutoka Wikipedia yetu. Ninajitahidi kupeleka mawazo ya jumuiya yetu. Naomba michango!
Nitaongeza karibuni mawazo yangu kuhusu mambo ninayoona kuwa na maana kwa mtazamo wangu. Ujumb huu natuma kwa wachangiaji wanaoonekana katika orodha ya wachangiaji hai waliochangia zaidi ya mara 3 katika siku 30 zilizopita!
Ndimi wako Kipala (majadiliano) 20:18, 13 Mei 2014 (UTC)
- Yeah, uhakika. Pia mimi aliongeza. [1]. Best upande --Cekli829 (majadiliano) 05:21, 20 Mei 2014 (UTC)
Admin activity review
[hariri chanzo]Thanks, Cekli829, for informing us about global policy. Please note that user Malangali has reappeared and edited a couple of articles yesterday. You may want to change your vote of removing his admin rights. Best, --Baba Tabita (majadiliano) 07:24, 20 Mei 2014 (UTC)
- Salaam, Baba Tabita. Nimekuwa alifanya mabadiliko hayo: [2]. Wasalaam, --Cekli829 (majadiliano) 14:04, 20 Mei 2014 (UTC)
Hi Cekli, I answered you on the Wikipedia:Wakabidhi page. We do have a process presently in progress. I had contacted you as one of the active users on sw. Cheers, Kipala (majadiliano) 09:04, 20 Mei 2014 (UTC)
- OK. Shukrani. --Cekli829 (majadiliano) 14:05, 20 Mei 2014 (UTC)
Hi Cekli, can you help us to bring the results of our vote process to the right places?
- We voted to give Mtumiaji:ChriKo and Mtumiaji:Riccardo Riccioni the mkabidhi status
- we voted to cancel/revoke that status for Mtumiaji:Flowerparty , Mtumiaji:Marcos and Mtumiaji:Mr Accountable
- we voted to retain Mtumiaji:Ndesanjo and Mtumiaji:Malangali Kipala (majadiliano) 20:21, 25 Mei 2014 (UTC)
- Hi Cekli. In my funtion as bureaucrat, I've given admin/sysop status to ChriKo and Riccardo. So, what remains is to revoke the admin statuses for Flowerparty, Marcos and Mr Accountable. Thanks for your help with that. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 09:49, 26 Mei 2014 (UTC)