Chama cha Mapinduzi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Chama cha Mapinduzi''' (CCM) ni chama tawala nchini [[Tanzania]]. CCM ilizaliwa [[5 Februari]] [[1977]] baada ya kuungana kwa vyama vya [[Tanganyika African National Union]] (TANU) kilichokuwa kikitawala Tanzania Bara na [[Afro-Shirazi Party]] (ASP) kilichokuwa chama tawala cha [[Zanzibar]] wakati huo. Chama cha Mapinduzi kilikuwa kikiongozwa na [[Mwalimu Nyerere]] na Afro-Shiraz Party kilikuwa chini ya [[Amaan Karume]].
'''Chama cha Mapinduzi''' (CCM) ni [[chama tawala]] nchini [[Tanzania]].
CCM ilizaliwa tarehe [[5 Februari]] [[1977]] baada ya kuungana kwa vyama vya [[Tanganyika African National Union]] (TANU) kilichokuwa kikitawala [[Tanzania Bara]] na [[Afro-Shirazi Party]] (ASP) kilichokuwa chama tawala cha [[Zanzibar]] wakati huo. Chama cha TANU kilikuwa kikiongozwa na [[Mwalimu Nyerere]] na Afro-Shiraz Party kilikuwa chini ya [[Amaan Karume]].


== Itikadi ==
== Itikadi ==
[[File:CCM stronghold in rural Tanzania.jpg|thumb|CCM kina wafuasi wengi vijijini.]]
[[File:CCM stronghold in rural Tanzania.jpg|thumb|CCM kina wafuasi wengi vijijini.]]
Kwa miaka mingi CCM ilikuwa ikifuata siasa ya [[Ujamaa na Kujitegemea]]. Itikadi hii ilipewa nguvu za kisera mwaka 1967 lilipotangazwa [[Azimio la Arusha]]. Kutokana na azimio hilo uchumi uliwekwa mikononi mwa umma. Itikadi hii pia ilisisitiza umuhimu wa kuishi pamoja hasa katika vijiji vya Ujamaa.
Kwa miaka mingi CCM ilikuwa ikifuata [[siasa]] ya [[Ujamaa na Kujitegemea]]. [[Itikadi]] hii ilipewa nguvu za kisera mwaka [[1967]] lilipotangazwa [[Azimio la Arusha]].
Kutokana na [[azimio]] hilo [[uchumi]] uliwekwa mikononi mwa [[umma]]. Itikadi hiyo pia ilisisitiza umuhimu wa kuishi pamoja hasa katika [[vijiji vya Ujamaa]].


== Uchaguzi ==
== Uchaguzi ==
CCM imekuwa ikishinda [[Uchaguzi|chaguzi]] za [[Urais]] toka [[mfumo wa vyama vingi]] uliporejeshwa nchini Tanzania. Chama hicho kimekuwa pia kikipata [[idadi]] kubwa ya [[wabunge]] wa [[Bunge la Muungano]] na [[Baraza la Wawakilishi]].

Chaguzi za vyama vingi Tanzania baada ya kurejeshwa kwa mfumo huo zilifanyika mwaka [[1995]], [[2000]], [[2005]] na [[2010]] na viongozi walioweza kuwa washindi kakati chama hicho ni kama wafuatao: William Benjamini Mkapa na [[Jakaya Mrisho Kikwete]]. Hawa ndio viongozi waliongoza nchi kipindi cha miaka ishirini.


= CCM imekuwa ikishinda chaguzi za Urais toka mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa nchini Tanzania. Chama hicho kimekuwa pia kikipata idadi kubwa ya wabunge wa [[Bunge la Muungano]] na [[Baraza la Wawakilishi]]. Chaguzi za vyama vingi Tanzania baada ya kurejeshwa kwa mfumo huo zilifanyika mwaka 1995, 2000, 2005 na 2010.na viongozi walio weza kuwa washindi kakati chama hicho ni kama wafatao Mh.William benjamini mkapa na Jakaya M Kikwete.hawa ndio viongozi waliongoza nchi kipindi cha miaka ishirini. =
Katika historia ya CCM kumekuwa na wenyeviti wanne:
Katika historia ya CCM kumekuwa na wenyeviti wanne:
* [[Julius Nyerere]], 1977 - 1990,
* [[Julius Nyerere]], 1977 - 1990,
* [[Ali Hassan Mwinyi]] 1990 - 1996
* [[Ali Hassan Mwinyi]] 1990 - 1996
* [[Benjamin Mkapa]] 1995 - 2005,
* [[Benjamin Mkapa]] 1995 - 2005,
* [[Jakaya Kikwete]] 2006 -2015
* [[Jakaya Kikwete]] 2006 - hadi sasa


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==

Pitio la 13:53, 19 Septemba 2015

Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama tawala nchini Tanzania.

CCM ilizaliwa tarehe 5 Februari 1977 baada ya kuungana kwa vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) kilichokuwa kikitawala Tanzania Bara na Afro-Shirazi Party (ASP) kilichokuwa chama tawala cha Zanzibar wakati huo. Chama cha TANU kilikuwa kikiongozwa na Mwalimu Nyerere na Afro-Shiraz Party kilikuwa chini ya Amaan Karume.

Itikadi

CCM kina wafuasi wengi vijijini.

Kwa miaka mingi CCM ilikuwa ikifuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea. Itikadi hii ilipewa nguvu za kisera mwaka 1967 lilipotangazwa Azimio la Arusha.

Kutokana na azimio hilo uchumi uliwekwa mikononi mwa umma. Itikadi hiyo pia ilisisitiza umuhimu wa kuishi pamoja hasa katika vijiji vya Ujamaa.

Uchaguzi

CCM imekuwa ikishinda chaguzi za Urais toka mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa nchini Tanzania. Chama hicho kimekuwa pia kikipata idadi kubwa ya wabunge wa Bunge la Muungano na Baraza la Wawakilishi.

Chaguzi za vyama vingi Tanzania baada ya kurejeshwa kwa mfumo huo zilifanyika mwaka 1995, 2000, 2005 na 2010 na viongozi walioweza kuwa washindi kakati chama hicho ni kama wafuatao: William Benjamini Mkapa na Jakaya Mrisho Kikwete. Hawa ndio viongozi waliongoza nchi kipindi cha miaka ishirini.

Katika historia ya CCM kumekuwa na wenyeviti wanne:

Viungo vya nje