Uhai : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 13: Mstari 13:


Uhai unapatikana kwa umbo la viumbehai vinavyopangwa katika vikundi vinavyofanana kati yao. Kila kiumbehai hufanywa na vitengo hai ndani yake vinavyoitwa [[seli]].
Uhai unapatikana kwa umbo la viumbehai vinavyopangwa katika vikundi vinavyofanana kati yao. Kila kiumbehai hufanywa na vitengo hai ndani yake vinavyoitwa [[seli]].

== Dunia kama mahali pa uhai ==
[[Dunia]] yetu ni [[sayari]] pekee inayojulikana mpaka sasa ambapo [[binadamu]] na viumbe vingine vinaweza kuishi.

Kuna sababu mbili:
# dunia yetu ina [[umbali]] na [[jua]] unaofaa kwa maisha kwa sababu sayari zilizoko karibu zaidi na jua (k.m. [[Zuhura]]) zina [[joto]] kubwa mno na sayari zilizoko mbali zaidi kama [[Mrihi]] ni [[baridi]] mno.
# dunia yetu ina [[angahewa]] yenye [[asilimia]] 78 ya [[naitrojini]], asilimia 21 ya [[oksijini]] na asilimia 1 ya aina nyinginezo za [[hewa]], na kwa sababu hii uhai na maisha yanamakinika katika [[ardhi]], kinyume na sayari nyinginezo.


{{mbegu-sayansi}}
{{mbegu-sayansi}}

Pitio la 11:03, 21 Mei 2015

Mti ukikua katika Hoh Rainforest

Uhai kwa maana ya biolojia ni jumla ya tabia zinazotofautisha kiumbehai na maada kwa jumla. Kila uhai ulioweza kutazamiwa na sayansi unapatikana pamoja na maada.

Kati ya tabia hizo kuna ni uwezo wa kushawishiwa na mazingira, kujipanga, kukua, metaboli na kuzaa. Kila tabia peke yake haifanyi uhai, kwa sababu mojamoja zinaweza kutokea pia kwa mata isiyo hai: fuwele zinakua, ulimi wa moto una umbo maalumu na ndani yake kuna aina ya metaboli inayobadilisha molekuli za nta pamoja na oksijeni ya hewani dioksidi kabonia na maji. Kwa hiyo ni jumla ya tabia, lakini kwa sababu kuna tofauti kati ya viumbehai ambazo hazifanani katika tabia zote kwa pamoja kumbe hadi leo wataalamu hawajapatana bado ni masharti gani yanayohitajika ili kuwepo kwa "uhai".

Uhai unapatikana kwa umbo la viumbehai vinavyopangwa katika vikundi vinavyofanana kati yao. Kila kiumbehai hufanywa na vitengo hai ndani yake vinavyoitwa seli.

Dunia kama mahali pa uhai

Dunia yetu ni sayari pekee inayojulikana mpaka sasa ambapo binadamu na viumbe vingine vinaweza kuishi.

Kuna sababu mbili:

  1. dunia yetu ina umbali na jua unaofaa kwa maisha kwa sababu sayari zilizoko karibu zaidi na jua (k.m. Zuhura) zina joto kubwa mno na sayari zilizoko mbali zaidi kama Mrihi ni baridi mno.
  2. dunia yetu ina angahewa yenye asilimia 78 ya naitrojini, asilimia 21 ya oksijini na asilimia 1 ya aina nyinginezo za hewa, na kwa sababu hii uhai na maisha yanamakinika katika ardhi, kinyume na sayari nyinginezo.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uhai kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.